Home amrisalyPosts

Amrisaly Mkwizu

@amrisaly

Followers
71.1k
Following
4
Account Insight
Score
62.33%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
17790:1
Weeks posts
Moment gani ya shule unaikumbuka zaidi? Walimu wanoko? Kutazama full episodes click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions Youtube, Subscribe na turn on notifications, Episode 02: Safari yangu ya Biashara, Pesa, Investment & Vision | Full Masterclass | Kutoka kufeli form 4 mpaka kuwa billionare, Host : @amrisaly Guest: @dr_ibrachenza 🎙️ @letsimpactmillionspodcast OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS
236 5
49 minutes ago
Una maneno gani ya kuwaambia wasomi? Kutazama full episodes click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions podcast pale Youtube, Episode 02: Safari yangu ya Biashara, Pesa, Investment & Vision | Full Masterclass | Kutoka kufeli form 4 mpaka kuwa billionare, Host : @amrisaly Guest: @dr_ibrachenza 🎙️ @letsimpactmillionspodcast OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS
711 17
1 hour ago
Matokeo yako ya shule haya determine mafanikio yako kwenye maisha. Kutazama full episodes click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions Youtube, Subscribe na turn on notifications, Episode 02: Safari yangu ya Biashara, Pesa, Investment & Vision | Full Masterclass | Kutoka kufeli form 4 mpaka kuwa billionare, Host : @amrisaly Guest: @dr_ibrachenza 🎙️ @letsimpactmillionspodcast OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS
701 23
1 hour ago
Hii imekukumbusha kitu gani kwenye maisha? Kutazama full episodes click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions Youtube, Subscribe na turn on notifications Episode 02: Safari yangu ya Biashara, Pesa, Investment & Vision | Full Masterclass | Kutoka kufeli form 4 mpaka kuwa billionare, Host : @amrisaly Guest: @dr_ibrachenza 🎙️ @letsimpactmillionspodcast OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS
1,129 38
2 hours ago
Utaratibu wa kutoa pesa kwako ukoje? Kutazama full episodes click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions Youtube, Subscribe na turn on notifications, Episode 02: Safari yangu ya Biashara, Pesa, Investment & Vision | Full Masterclass | Kutoka kufeli form 4 mpaka kuwa billionare, Host : @amrisaly Guest: @dr_ibrachenza 🎙️ @letsimpactmillionspodcast OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS
5,668 240
3 hours ago
Kuanzia kumiliki pesa nyingi, magari ya kifahari, nyumba ufukweni, biashara, safari za nje ya nchi, freedom na mengine mengi, Miaka 10 iliyopita aliweza kuzungumza vitu vyote atakavyovifanya kwenye maisha yake live pale youtube, Then akaweza kuvifanikisha, Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya mambo anayoyafanya, footprint na ukweli wa mafanikio yake, Ukweli ambao watu wengi wamekuwa wakiogopa kuuliza hata wanapofanya nae podcast/interview, Lakini kwa faida ya wengi tumeuliza maswali hayo yote from A - Z na kumfanya afunguke vitu ambavyo hajawahi kusema popote pale, Zaidi ya hapo ameelezea kiundani experience yake ya maisha yote aliyopitia, highs, lows, lessons, namna anavyo-handle pesa, investments, pressure, anavyoweza ku-maintain, kupanga mipango ya muda mrefu na kuitimiza na mengine mengi, Kitu ambacho kinafanya episode hii kuwa very EXCEPTIONAL na yamoto kuliko mtu yoyote anavyoweza ku-imagine, Na kufanya tuipe hadhi ya kuiita full MASTERCLASS, Masterclass ambayo kukupa nafasi ya kuiona for free ni upendeleo mkubwa sana, Na impact ya masterclass hii itaacha, value, information na alama kubwa sana kwenye maisha yako, Kutazama full episode click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions pale YouTube, subscribe na turn on notifications, Tukifika subscribers 15,000 tu tuna-release official episode (less than 700 subscribers to go🚀🔥) OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS. Host: @amrisaly Guest: @dr_ibrachenza Director:@MikeAtilio Project manager @mikedastan Executive Producer:@LetsImpactMillionsPodcast Producer : @RealSako_ DOP: @Mosei_Didit Photographer: @baraka_photography Ass. DOP: Mkemia, Sound :@EndrewOfficial_tz Light : @mafenche Editor 1: @emak_ogx Editor 2: @Karoly.Kendrick Color : @Studio_space_tz & @Kheri_One
10.9k 772
2 days ago
Episode two ya let’s impact millions podcast it’s finally here, Hii imekuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa sana, Episode hii tulimuomba guest aweze ku-share vitu ambavyo ni very exclusive, havijawahi kuwa shared popote na kila mtu anatakiwa avisikie, ajifunze na apate row experience ya biashara na maisha kiujumla, Ame-share beyond our expectation na kufanya episode hii iwe more than a masterclass, Kiuhalisia information zilizokuwa shared, experience, quality and everything ni vya thamani kubwa sana kiasi kwamba ingepaswa hata mtu alipie kuona this episode, Lakini sababu our mission is to impact millions, tuna-cover every cost na kufanya uweze kupata kila kitu for COMPLETELY FREE, Na zaidi ya hapo kwa sababu this episode is very special, inakuja na special gift 🎁, GUESS THE GUEST & WIN 100,000 TZS Terms and conditions: 👇 Kabla ya kesho saa kumi jioni ambapo tutafanya guest reveal pale youtube, • Taja jina la guest kwenye comment • Tag na invite marafiki (waambie wa-follow page hii, wa-subscribe YouTube kupitia link kwenye bio baada ya kufanua hivyo wa reply comment yako na neno DONE✅) • ⁠Ukipatia jina la guest na comment yako ikawa most replied utakuwa winner, ↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓ Saa kumi jioni (16:00) tunakutana YouTube kwa SPECIAL GUEST REVEAL, Usikose hii, Our mission is to impact millions.
1,510 409
2 days ago
Ni sehemu chache sana utafika ukaambiwa ukweli mchungu wa namna hii. Trading sio option pekee ya kutengeneza pesa, na wengi wanachelewa kuelewa hilo mpaka muda umeshapita. Kuna opportunities nyingi nje ya charts ambazo zinaweza completely kubadili maisha yako ukizielewa mapema. Kujifunza zaidi tazama full video kupitia link iliyopo kwenye bio au search IntelligenceFX YouTube
922 31
6 days ago
Impossible is just a word when discipline becomes your lifestyle.
2,250 64
7 days ago
Jifunze kutoka A–Z mbinu za kutengeneza milioni 100 bila kuanza na capital kubwa ndani ya dakika 45 tu. Kwenye video hii utajifunza mindset, strategies, opportunities na mfumo wa ku-build income step by step bila kusubiri mazingira yawe perfect. Tazama full video kupitia link iliyopo kwenye bio au search IntelligenceFX YouTube
1,271 37
7 days ago
Ugumu wa maisha unavyoongezeka ndio jinsi opportunities zinavyoongezeka, Tofauti tu ni kwamba ugumu wa maisha utakuchapa makofi bila kubisha hodi wala kuangalia utayari wako kuupokea, Upande wa opportunities hata kama ziwepo nyingi kiasi gani wewe, experience zako na information ulizonazo, watu na mazingira uliyopo ndo vita-determine uone opportunities au usizione, Sasa hivi tupo kwenye kipindi kigumu zaidi cha kiuchumi tangu uumbwaji wa dunia, Almost kila anaesoma hapa atakubaliana na mimi, Na issue kubwa zaidi ni kwamba mambo yanaenda kwa speed kuliko kawaida, Sasa kiuchumi it’s either mambo yakupeleke kwa speed kuzimu au peponi, Mwezi ulopita tu hapo nilinunua full tank mafuta kwa 160k, leo nimeweka the same full tank kwa 250k, Hiyo ni 56% ya ongezeko la bei ndani ya mwezi tu, unaona hiyo speed, bila kusahau currency yetu inashuka thamani, Hii ni kwenye mafuta lakini karibu kila kitu kinapanda bei sio chakula, kodi, furnitures, electronics - kila kitu, Hayo yote yanatokea mshahara wako ukiwa ni ule ule wa mwaka jana, mapato ya biashara yako ni yale yale, kupata kazi au ajira ni ngumu vile vile, Lakini ukiona kwako pesa zinatoka kuna mahali zinaingia na opportunities zinaongezeka, Hakuna kipindi mtu anaweza ku-build wealth kirahisi kuzidi sasa, Wanauchumi wanasema “Largest wealth transfer in modern history is happening right now” Hii yote ni kutokana na uwepo wa internet, technology, AI, blockchain, urahisi wa kupata information na mambo mengine mengi ambayo yanafanya transfer ya wealth iwe 1000X more than 10 years ago, Vitu ambavyo last year vilivyokuwa vinafanyika ndani ya miezi mitatu leo vinafanyika kwa kutumia prompt moja tu na sekunde 10, Biashara iliyokuwa inahitaji mwaka ili kuandika plan, research mpaka execution leo inahitaji saa moja tu la utulivu, Ila utaamua unatumia technology kukuingizia pesa au kuishi kama upo 1990 na zaidi kuku-distract na ukiishi kama tupo 90s kwenye kutafuta upande wa gharama za maisha zipo 2026 na at the end; Speed ya maisha kuelekea kwenye ugumu inakulazimisha ila kuelekea kwenye greatness ni uamuzi na uchaguzi wako,
1,783 55
8 days ago
Tumevunja record🚀, Let’s Impact Millions Podcast imekuwa podcast ya kwanza Tanzania na chache sana duniani ambazo episode ya kwanza tu imefikisha views zaidi ya 250,000 in less than 10 days, Lakini sio hivyo tu… Pia imeweka rekodi ya kuwa most watched podcast episode Tanzania ndani ya muda huo mfupi, Na kitu kikubwa zaidi - hii sio podcast ya entertainment au aina ya maudhui yasiyo na faida kwa mtazamaji, Hii ni platform ya maarifa, experience, mtazamo, na mabadiliko halisi kwa jamii, Kwa muda mrefu, vijana wengi wamekuwa wakiamini kwamba; Ili upate attention mtandaoni lazima utoe vitu visivyo na maadili au visivyo na value, Let’s Impact Millions imeweza kubadilisha narrative hiyo kwa kuwa mfano halisi, Na zaidi ya hapo… Kwa nchi yetu, mara nyingi mtu akiingia platforms kama YouTube kitu pekee anapata ni burudani tu, Lakini haipaswi kuwa hivyo, Inapaswa kuwepo sehemu ambayo mtu anaweza: * Kujifunza * Kupata maarifa * ⁠Kupata experience * Kupata direction ya maisha Na hapo ndipo Let’s Impact Millions Podcast inaingia, na tunaamini sisi ni waongoza njia tu wapo wengi zaidi watafuata na hilo ndio lengo letu, Ahsanteni sana kwa mapokezi haya makubwa🙏 Hatuichukulii hii support kama kitu cha kawaida - ni kitu kikubwa sana kwetu, Na tunachowaahidi ni; - Ku-maintain quality - Kuwa consistent - Na kuendelea ku-deliver massive value for completely FREE, Shukrani za dhati kwa kila mmoja aliyetumia muda wake, bando lake, simu yake… Kuangalia, kushare, kupost, na kutoa maoni yake (comment), Bila wewe hii record isingekuwepo, Na kama tungeweka huu uthubutu, massive investment, values, quality, skills alafu tuangalie wenyewe au wewe usiangalie hivyo vitu vyote vingekuwa havina maana, Episode ya pili inakuja this week, stay tuned Our mission is to impact millions
612 58
10 days ago