Intelligence Fx | Forex Trading | IFX

@intelligencefx

🌏| Community of Professional Traders 👥| Anchored @IntelligenceFunds | @IntelligenceFloor 👇| Become Profitable and consistent trader
Followers
66.9k
Following
9
Account Insight
Score
62.09%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
7434:1
Weeks posts
Female trader wengi wanaunderestimate uwezo wao bila kujua kwamba baadhi ya tabia walizonazo naturally zinaweza kuwa advantage kubwa sana kwenye market. Kwenye trading sio kila kitu ni speed au kufanya trades nyingi… mara nyingi consistency inatokana na uwezo wa kuwa selective, kusoma mazingira vizuri, kutulia kwenye maamuzi na kuelewa behavior ya market mapema. Na hizi ni traits ambazo wanawake wengi wanazo naturally kwenye maisha yao ya kawaida. Ukiziapply correctly kwenye trading, zinaweza kubadilika kuwa edge kubwa sana kwenye safari yako ya trading.
217 15
2 days ago
Kwenye forex trading industry kuna taarifa nyingi zisizo sahihi sana, na mara nyingi hizi huwafanya beginners kuchukua muda mrefu sana kujifunza na kuelewa trading vizuri. Wewe unahisi beginners wengi wanakosea wapi kwenye forex trading...?
519 23
2 days ago
Information zinakufanya uweze kuona opportunities, experience na mastering inakufanya uweze kufanya proper and planned execution, Happy New Week
401 11
4 days ago
Some of the highlights at @intelligenceFloor this week, 📈 Every week is a movement toward the 1% through continuously learning, refining, discipline, execution, consistency, and growth🚀 You will only experience this kind of highlight at Intelligence
1,204 16
6 days ago
Ni sehemu chache sana utafika ukaambiwa ukweli mchungu wa namna hii. Trading sio option pekee ya kutengeneza pesa, na wengi wanachelewa kuelewa hilo mpaka muda umeshapita. Kuna opportunities nyingi nje ya charts ambazo zinaweza completely kubadili maisha yako ukizielewa mapema. Kujifunza zaidi tazama full video kupitia link iliyopo kwenye bio au search IntelligenceFX YouTube
927 31
6 days ago
Impossible is just a word when discipline becomes your lifestyle.
2,262 64
7 days ago
Jifunze kutoka A–Z mbinu za kutengeneza milioni 100 bila kuanza na capital kubwa ndani ya dakika 45 tu. Kwenye video hii utajifunza mindset, strategies, opportunities na mfumo wa ku-build income step by step bila kusubiri mazingira yawe perfect. Tazama full video kupitia link iliyopo kwenye bio au search IntelligenceFX YouTube
1,276 38
7 days ago
Hii ni highlight ya Daily Market Breakdown na discussions ambazo huwa tunafanya kila siku ya week kwenye @intelligencefloor , Kila session huwa ni impactful sana kwa sababu trader anapata nafasi ya kuona mitazamo tofauti ya market, ku-present analysis zake, kuulizwa maswali, kupewa corrections na kuonyeshwa vitu ambavyo alikuwa hajaviona, Discussions hizi zinasaidia kuondoa bias ya kufikiria direction moja tu ya market, kuongeza confidence kwenye analysis, kuboresha risk management, psychology na decision making kwenye real market conditions, Zaidi ya setups na entries, hizi sessions zinajenga consistency, discipline na mazingira ya traders kujifunza kwenye live market conditions, kukua na kusharikiana kila siku, This happens only at IntelligenceFx,
641 14
8 days ago
Umeshawahi kupata wakati wa kuangalia nyuma halafu ukaona kabisa kwamba kuna vitu vikubwa vimebadilika kwenye maisha yako… sio kwa bahati, bali kutokana na consistency, mazingira uliyojiwekea, na bidii ambayo umekuwa unaweka kila siku? Mara nyingi ukiwa katikati ya process huoni growth yako vizuri unaona kama bado hujafika Lakini ukiangalia miezi michache nyuma, unaanza kugundua mindset imebadilika, discipline imeongezeka, confidence imekua, na hata namna unavyoapproach maisha na trading sio ile ya zamani tena. #throwbackthursdayy leo tupo na brother @gerald_mwangosi akielezea yeye binafsi ameona mabadiliko gani ndani ya miezi michache baada ya kujiunga na @intelligencefloor Kwasababu wakati mwingine maendeleo sio tu kwenye profit ni namna unavyokuwa mtu tofauti kabisa compared na ulivyokuwa mwanzo.
402 18
9 days ago
Trading is always a learning process hakuna point utafikaga useme “sasa nimejua kila kitu.” The market keeps changing, and if you stop learning, eventually utaanza kubaki nyuma. That’s why kwenye community yetu tuna-prioritize one on one sessions na real discussions za kuelewa nini kinaendelea sokoni, kwanini kinaendelea, na how to adapt instead of kubahatisha trades.
374 20
10 days ago
Umetumia vigezo gani kuchagua idadi ya pairs zilizopo kwenye watchlist yako? | FAQ
250 25
10 days ago
Traders wengi wanaamini stoploss is a trap imewekwa pale ili watu fulani wafaidikee lakini ukweli ni huu stoploss haikuharibii akaunti yako… makosa yako ndiyo yanayokupotezaaa . Bila stoploss, ungepoteza akaunti nzima ndani ya trades chache tu Stoploss ni gharama ya kubaki kwenye game. Ni insurance ya capital yako nidiscipline inayoonekana kwenye chart ukianza kuichukulia kama adui, utaanza kuikwepa ukianza kuikwepa, utaanza kuhold losses na hapo ndipo unaharibu kila kitu. Respect stoploss ndiyo inakupa nafasi ya kuendelea kuplace trade nyingne kesho
606 25
10 days ago