Ni sehemu chache sana utafika ukaambiwa ukweli mchungu wa namna hii.
Trading sio option pekee ya kutengeneza pesa, na wengi wanachelewa kuelewa hilo mpaka muda umeshapita. Kuna opportunities nyingi nje ya charts ambazo zinaweza completely kubadili maisha yako ukizielewa mapema.
Kujifunza zaidi tazama full video kupitia link iliyopo kwenye bio au search IntelligenceFX YouTube