Female trader wengi wanaunderestimate uwezo wao bila kujua kwamba baadhi ya tabia walizonazo naturally zinaweza kuwa advantage kubwa sana kwenye market.
Kwenye trading sio kila kitu ni speed au kufanya trades nyingi… mara nyingi consistency inatokana na uwezo wa kuwa selective, kusoma mazingira vizuri, kutulia kwenye maamuzi na kuelewa behavior ya market mapema.
Na hizi ni traits ambazo wanawake wengi wanazo naturally kwenye maisha yao ya kawaida.
Ukiziapply correctly kwenye trading, zinaweza kubadilika kuwa edge kubwa sana kwenye safari yako ya trading.
Kwenye forex trading industry kuna taarifa nyingi zisizo sahihi sana, na mara nyingi hizi huwafanya beginners kuchukua muda mrefu sana kujifunza na kuelewa trading vizuri.
Wewe unahisi beginners wengi wanakosea wapi kwenye forex trading...?
Some of the highlights at @intelligenceFloor this week, 📈
Every week is a movement toward the 1% through continuously learning, refining, discipline, execution, consistency, and growth🚀
You will only experience this kind of highlight at Intelligence
Hii ni highlight ya Daily Market Breakdown na discussions ambazo huwa tunafanya kila siku ya week kwenye @intelligencefloor ,
Kila session huwa ni impactful sana kwa sababu trader anapata nafasi ya kuona mitazamo tofauti ya market, ku-present analysis zake, kuulizwa maswali, kupewa corrections na kuonyeshwa vitu ambavyo alikuwa hajaviona,
Discussions hizi zinasaidia kuondoa bias ya kufikiria direction moja tu ya market, kuongeza confidence kwenye analysis, kuboresha risk management, psychology na decision making kwenye real market conditions,
Zaidi ya setups na entries, hizi sessions zinajenga consistency, discipline na mazingira ya traders kujifunza kwenye live market conditions, kukua na kusharikiana kila siku,
This happens only at IntelligenceFx,
Umeshawahi kupata wakati wa kuangalia nyuma halafu ukaona kabisa kwamba kuna vitu vikubwa vimebadilika kwenye maisha yako… sio kwa bahati, bali kutokana na consistency, mazingira uliyojiwekea, na bidii ambayo umekuwa unaweka kila siku?
Mara nyingi ukiwa katikati ya process huoni growth yako vizuri unaona kama bado hujafika Lakini ukiangalia miezi michache nyuma, unaanza kugundua mindset imebadilika, discipline imeongezeka, confidence imekua, na hata namna unavyoapproach maisha na trading sio ile ya zamani tena.
#throwbackthursdayy leo tupo na brother @gerald_mwangosi akielezea yeye binafsi ameona mabadiliko gani ndani ya miezi michache baada ya kujiunga na @intelligencefloor
Kwasababu wakati mwingine maendeleo sio tu kwenye profit ni namna unavyokuwa mtu tofauti kabisa compared na ulivyokuwa mwanzo.
Traders wengi wanaamini stoploss is a trap imewekwa pale ili watu fulani wafaidikee lakini ukweli ni huu stoploss haikuharibii akaunti yako… makosa yako ndiyo yanayokupotezaaa .
Bila stoploss, ungepoteza akaunti nzima ndani ya trades chache tu Stoploss ni gharama ya kubaki kwenye game.
Ni insurance ya capital yako nidiscipline inayoonekana kwenye chart ukianza kuichukulia kama adui, utaanza kuikwepa ukianza kuikwepa, utaanza kuhold losses na hapo ndipo unaharibu kila kitu.
Respect stoploss ndiyo inakupa nafasi ya kuendelea kuplace trade nyingne kesho
Hii ni sehemu ya market breakdown April 29, focus ya member wetu @uptrend_Inc ilikuwa kwenye GBPNZD,
Bias ilikuwa clear, Just patience and clean execution,
This is the side of trading ambao wengi hawatazami,
Preparation before the move, patience ya kusubiri the right entry, na confidence ya kuexecute bila hesitation,
Results hazitokani na kubahatisha Ila ni maandalizi, zinatokana na consistency, structure, and all the work done behind the scenes,
Experience professional side of trading.
Motivation is everything right? Ukijisikia vizuri unafanya kazi, ukikosa mood unaacha leo umefungua chart kwasababu ni jumatatu but the remaining part of the week haujiskii so you wont open them
we don't do that here @intelligencefx
the only way to be at the top is to make sure we are disciplined and not motivated
happy new week everyone