INTELLIGENCE PAY

@intelligencepay

| Instant deposit and withdraw | Any amount | Anytime 📍 | Mabibo Stand | Sinza | Goba Center 👇contact us
Followers
1,276
Following
2
Account Insight
Score
26.48%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
638:1
Weeks posts
Happy New Year from Intelligence to everyone, This year, we’ve prepared powerful new levels, systems, and opportunities for you here on IG, X, YouTube, WhatsApp, within the community, on the trading floor, and everywhere else we connect, Let’s go together, from the beginning to the end.
817 60
4 months ago
Umeshawahi kukutana na mtu anaewaza kuacha kazi au chuo ili kufanya trading? Mtumie video hii ajifunze Kuna mambo mengi sana ya kujifunza kwenye hii episode ya LET’S IMPACT MILLIONS DOCUMENTARY, Click link on bio to watch full episode, subscribe and turn on notifications ili uwe wa kwanza kuona NEXT episode, Our mission is to impact millions.
340 25
11 months ago
Haikuhitaji kuwa smart sana kujua ni kwa kiasi gani maisha hayana usawa, Kila siku zinavyozidi kwenda mbele at least usawa unaongezeka, technology ina-clear gape, inshort mimi na wewe tuna bahati kubwa sana kuwa katika generation hizi, Sasa hivi macho ya watu wote yamehamia kwenye fursa za online (working online), mfano UK statistics za mwisho ONS (Office for National Statistics) wanasema more than 30% ya wafanyakazi wana -work from home, Maana yake ni kwamba asilimia kubwa ya fursa zilizopo nje sasa hivi hata ukiwa Bongo unaweza kuzi-access endapo ukiwa na taarifa sahihi & what it takes Tukija kwenye others skills and professionals zamani kidogo tuu ilikuwa huwezi kuzipata kama upo Africa, Lakini we we trade the same forex, crypto, stock market, we use the same development and designing softwares, we have access to the same information (ukizitafuta) na vitu vingine vingi ni the same, Pamoja na hayo yote life standard inatu-favor vibaya mno, Yani unafanya kitu sawa na mtu yupo ulaya alalfu kwao bars zipo juu sana, yeye kuwa considered as wealth/rich person inabidi afanye vitu 5 to 10times na sisi huku, Tukiachana na wealth yani ili tu kuishi standard life inabidi aende far & beyond, Yani Africa ukiwa na income ya ÂŁ5000 - ÂŁ10000 a month tena below 30 yani wewe ni inspirational kabisa, ila ukienda kwa Trump wewe ni just a normal person, Ndio moja ya sababu even nowdays online-entrepreneurs wengi wamekuwa wakitoka nje na kuja kuishi Zanzibar, Tatizo kubwa ni kwamba ku-make that amount ukiwa huku ni kazi sana, na hiyo kazi ni sababu ya mentality na sio kitu kingine, Leo mtu ukiamua kuwa na the right mentality, kufanya kazi kwa bidii, kujifunza mambo na kuwa mbunifu haikuhitaji kwenda Wall street ndio uweze kutengeneza your first 10k,
2,864 92
1 year ago
Introducing IntelligencePay!🇹🇿 Instantly deposit or withdraw any cryptocurrency, any amount, anytime, all with trust and transparency. Save our contact, click the link in bio, and contact us for smooth crypto transactions #IntelligenceFx #IntelligencePay
273 22
2 years ago