You can’t change January,
You can’t redo February,
That’s the truth,
Lakini kuanzia sasa, every month is still an opportunity to create your,
And please, don’t give up this early,
Ndo kwanza, Q1 hata haijaisha,
Maybe the first two months didn’t go how you planned,
Maybe you delayed,
Maybe you were inconsistent,
Maybe you doubted yourself,
It’s okay,
But if you keep taking the same actions,
utapata the same results kama miezi miwili iliyopita,
Nothing changes, if nothing changes,
Regardless mambo ni magumu kiasi gani, still you have a chance to make it ukituliza akili, there is always a way, Mwenyezi Mungu hawezi kukupa mtihani ambao sio wa darasa lako,
Just take time to evaluate what you did better and what you can do differently,
This year can still be your most powerful year ever,
Not because it’s easy,
But because you can decide to move differently,
– Be more disciplined
– Be more focused
– Be more aggressive with your actions
Change your execution,
Change your standards,
Change your daily decisions,
December is not magic,
Ni reflection ya what you repeatedly do from now,
Step up,
Move differently,
Execute seriously,
#IntelligenceFX
Leo kwenye Live ya @intelligencefx host wetu walikua ni brother @amrisaly na brother @mikedastan ambapo waliweza kushare mambo mbali mbali.
#intelligencefx #intelligencefxcommunity #intelligencefxapp
Happy New Year from Intelligence to everyone,
This year, we’ve prepared powerful new levels, systems, and opportunities for you here on IG, X, YouTube, WhatsApp, within the community, on the trading floor, and everywhere else we connect,
Let’s go together, from the beginning to the end.
Umeshawahi kukutana na mtu anaewaza kuacha kazi au chuo ili kufanya trading? Mtumie video hii ajifunze
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza kwenye hii episode ya LET’S IMPACT MILLIONS DOCUMENTARY,
Click link on bio to watch full episode, subscribe and turn on notifications ili uwe wa kwanza kuona NEXT episode,
Our mission is to impact millions.
Najua sio jambo jipya kwa baadhi traders, lakin kwangu ni jambo muhimu kwa kiasi Fulani, Tangu niamue 100% kuchagua maisha ya kudeal na candlestick.
Kutengeneza 20% ya faida sio jambo Dogo, hasa kutrade kipindi chenye misukosuko na kelele nyingi sokoni, Nimeamua kushea hapa hii kuwaonesha baadhi ya vijana wenzangu kua kila kitu kinawezekana tena zaid ya hii.
Lakin pia nimeshea trade history yangu hapo, Kuonesha tu hakuna asiepata hasara, hasara zipo Ila mentor wangu muda wote amekua kiongozi bora sana kisaikolojia, sio kwangu tu Bali kwa member wote wa @intelligencefx community. Kuna wengi unaona wakifanya poa sana kwenye community yetu,, na hii yote ni jitihada kutoka kwa mentors wetu, kwa asilimia kubwa sana wanazidi kua mchango kwangu na members wote. Lakini pia @intelligencepay ipo kwaajiri ya kurahisisha withdrawal zangu zote,
Shukran za dhati kwa mentors
@amrisaly@mikedastan
#intelligengefx #ifx
Haikuhitaji kuwa smart sana kujua ni kwa kiasi gani maisha hayana usawa,
Kila siku zinavyozidi kwenda mbele at least usawa unaongezeka, technology ina-clear gape,
inshort mimi na wewe tuna bahati kubwa sana kuwa katika generation hizi,
Sasa hivi macho ya watu wote yamehamia kwenye fursa za online (working online), mfano UK statistics za mwisho ONS (Office for National Statistics) wanasema more than 30% ya wafanyakazi wana -work from home,
Maana yake ni kwamba asilimia kubwa ya fursa zilizopo nje sasa hivi hata ukiwa Bongo unaweza kuzi-access endapo ukiwa na taarifa sahihi & what it takes
Tukija kwenye others skills and professionals zamani kidogo tuu ilikuwa huwezi kuzipata kama upo Africa,
Lakini we we trade the same forex, crypto, stock market, we use the same development and designing softwares, we have access to the same information (ukizitafuta) na vitu vingine vingi ni the same,
Pamoja na hayo yote life standard inatu-favor vibaya mno,
Yani unafanya kitu sawa na mtu yupo ulaya alalfu kwao bars zipo juu sana, yeye kuwa considered as wealth/rich person inabidi afanye vitu 5 to 10times na sisi huku,
Tukiachana na wealth yani ili tu kuishi standard life inabidi aende far & beyond,
Yani Africa ukiwa na income ya ÂŁ5000 - ÂŁ10000 a month tena below 30 yani wewe ni inspirational kabisa, ila ukienda kwa Trump wewe ni just a normal person,
Ndio moja ya sababu even nowdays online-entrepreneurs wengi wamekuwa wakitoka nje na kuja kuishi Zanzibar,
Tatizo kubwa ni kwamba ku-make that amount ukiwa huku ni kazi sana, na hiyo kazi ni sababu ya mentality na sio kitu kingine,
Leo mtu ukiamua kuwa na the right mentality, kufanya kazi kwa bidii, kujifunza mambo na kuwa mbunifu haikuhitaji kwenda Wall street ndio uweze kutengeneza your first 10k,