Tazama Upendo wa watanzania kwa Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN akiwasili katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza, zinapofanyika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru.
Mbali na sherehe hizo za kuzima Mwenge, leo Oktoba 14, 2024 ni kumbukizi ya miaka 25 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na pia ni kilele cha Wiki ya Vijana Kitaifa ambapo shughuli zote zinafanyika kwa pamoja katika Uwanja huo wa CCM Kirumba.
Cc
@iam_masubrand
Balaa la SIMBA 🦁 @diamondplatnumz 🔥🙌 kwenye Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru pamoja na kumbukizi ya miaka 25 ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo 14 Oktoba, 2024
Cc
📸 @masu_studios@wcb_wasafi