iCARE ENTERPRISES CO LTD

@icaretechnologytz_

🥇№ ➀ Top computer sales and IT consultants company, operating in multiple regions in Tanzania. Growing together,Achieving together 🌎 Whatsapp Us👇
Followers
54.5k
Following
282
Account Insight
Score
61.28%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
193:1
Weeks posts
Leo ilikua ni siku nzuri sana Dukani kwetu Dar es salaam baada ya Kutembelewa na Msemaji Wa Timu kubwa nchini @ahmedally_ @simbasctanzania Asante kwa kutuamini na kuturuhusu kukupatia Huduma bora Na vibunda ulivyotuachia ni Hazina kubwa umeweka kwa Kampuni ya IT kubwa zaidi Tanzania siku za Usoni🇹🇿 ila Suala la kuingia Uwanjani na Ngamia wakati nyie ni Simba lisijirudiee tena 😅😅
1,743 37
2 years ago
#HABARI: Katika kuhitimisha Wiki ya huduma kwa wateja iCARE Dar es Salaam, wamefika ITV na kutoa zawadi wakishukuru kwa ushirikiano mzuri uliopo na kuahidi kutoa huduma nzuri zaidi za teknolojia. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania .
266 10
7 months ago
TANZANIA TUMETOKA MBALI😂😂😂😂😂😂😂 Ili kuendelea Kufurahia Ulimwengu wa Kiteknolojia Karibu sana @icaretechnologytz_ @icaretechnologytz_ ujipatie COMPUTER aina zote Kuanzia Bei ndogo kabisa ya 250,000/= Pamoja na hayo @icaretechnologytz_ tunauza Accessories zote kama Printer, Photocopy Machine, Storage, Begi la kubebea Computer yako, Pads za kuchezea Games, External na nyingine nyingi. Maduka yetu yapo Dar es salaam, Mwanza, Dodoma, Mbeya na Arusha lakini tunafanya delivery mikoa yote Tanzania. Karibu sana, @icaretechnologytz_ @icaretechnologytz_ @icaretechnologytz_ 🎥: @panther_phone_tz Edits: @jaykiporo
18.0k 547
1 year ago
🎮 Ready to Transform Your Gaming Room? “Level up your gaming experience ⚡🖥️✨” ▪️ Smooth electric height control-comfort guaranteed. ▪️ Durable carbon fiber surface -built to last. ▪️ Multi‑monitor ready - perfect kwa gamers & creators. ▪️ Ergonomic design - long hours bila stress. 👉 Black Friday Deal-Order now, free delivery Tanzania 🇹🇿
21 0
3 days ago
EWEADN Q6 Wireless Mouse stylish mouse yenye comfort na convenience ▪️Price: Tsh 59,000/= (VAT excl) ▪️Wireless freedom: inakupa matumizi rahisi bila usumbufu wa waya kwenye kazi za kila siku. ▪️Rechargeable: unachaji na kuendelea kutumia bila kubadilisha battery kila mara. ▪️Elegant design: muonekano wake ni wa kisasa na wa tofauti, unafanya setup yako ionekane premium. ▪️Ergonomic feel: inakaa vizuri mkononi kwa comfort ya matumizi ya muda mrefu. ▪️Multi-device compatibility: inafaa kwa vifaa mbalimbali kwa matumizi ya home, office au safari. DM ku-order sasa. #WirelessMouse #OfficeAccessories #TechAccessories #IcareTechnologyTZ #MouseSetup
26 0
3 days ago
🔥 Dell WM126 - Mouse ya Original™ “Wireless freedom, plug & play bila stress 🖱️⚡” ▪️ Compact design - easy kubeba popote. ▪️ 1000 DPI tracking - smooth kwa kazi na browsing. ▪️ Ambidextrous - left/right hand friendly. ▪️ Long battery life -AA moja inabeba miezi kadhaa. 👉 Bei ya iCare Care: Affordable original Dell unit (na warranty). 👉 Free delivery Tanzania. #DellWM126 #WirelessMouse #OriginalDell #IcareTechnologyTZ
14 0
4 days ago
🔥 Logitech K120 — Keyboard ya Original™ “Typing safi, design imara bila stress ⌨️💻” ▪️ Full‑size QWERTY layout na numeric keypad. ▪️ Low‑profile keys — silent & smooth typing. ▪️ Spill‑resistant design — inabeba daily office use. ▪️ Plug & play — connect tu na kazi ianze. 👉 Bei ya iCare Care: TZS 44,000/= + VAT (Others wanauza 70k 😎) 👉 Free delivery Tanzania. #LogitechK120 #KeyboardOriginal #OfficeReady #IcareTechnologyTZ
12 0
4 days ago
🔥 Dell KB216- Keyboard ya Original™ “Typing safi, multimedia control bila stress ⌨️🎶” ▪️ Full‑size QWERTY layout na numeric keypad. ▪️ Chiclet keys - comfortable & quiet typing. ▪️ Multimedia shortcuts -control music & volume haraka. ▪️ Plug & play - connect tu na kazi ianze. 👉 Bei ya iCare Care: TZS 39,000/= + VAT (Others wanauza 59k 😎) 👉 Free delivery Tanzania. #DellKB216 #KeyboardOriginal #OfficeReady #IcareTechnologyTZ
14 0
4 days ago
🔥 Lenovo S27i‑30 - Screen ya Kazi Safi™ “Clarity safi, design ya kisasa 💻✨” ▪️ Borderless look -inabamba kwa dual setup. ▪️ 100Hz refresh rate - smooth kwa office & Netflix. ▪️ Low Blue Light -macho yako salama overtime. ▪️ Built‑in phone rack -desk iko smart na organized. 👉 Bei ya iCare Care: TZS 499,000/= + VAT (Others wanauza 699k 😎) 👉 Free delivery Tanzania. #LenovoS27i30 #ScreenSafi #ThinkVision #IcareTechnologyTZ
14 0
4 days ago
🔥 Lenovo P34w‑40 -Screen ya Maboss! “Curved, classy & multitask‑ready 💻✨” ▪️ Frameless design inabamba kwa setup ya kisasa. ▪️ True Split multitasking -Excel, Teams & Browser kwa screen moja. ▪️ USB‑C 140W-one‑cable power + display. ▪️ IPS Black panel - colors safi, blacks deep. 👉 Bei ya iCare Care: TZS 1,499,000/= + VAT (Others wanauza 1.9M 😎) 👉 Free delivery Tanzania. #LenovoP34w40 #CurvedPower #ThinkVision #IcareTechnologyTZ
18 0
4 days ago
Sleep smarter with CariX Smartwatch D29C ▪️Track sleep duration, monitor sleep quality na uelewe mapumziko yako vizuri zaidi. ▪️Pata smart health insights zinazokusaidia kuamka ukiwa refreshed na ready for the day. ▪️More than style - ni smartwatch inayokusaidia kufuatilia wellbeing yako kila siku. Order Now Anywhere - DM ku-order sasa. #CariXSmartwatch #SleepTracking #Smartwatch #HealthTech #IcareTechnologyTZ
21 0
5 days ago
HDMI ya discount ipo… ila kidogo utaimalizia nyumbani na super glue yako 😂
66 6
5 days ago