Kwa kushirikiana na Taasisi ya Mo Dewji ( @modewjifoundation ) tumetoa msaada Hosipitali ya rufaa Mwananyamala kama sehemu ya kurudisha kwa jamii. #NguvuMoja
Viingilio vya mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank dhidi ya TRA United ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa KMC Complex kuanzia saa 12:30 jioni. #NguvuMoja