Tembelea wavuti ya www.saut.ac.tz/lms ,Kwa app ya chrome
Kisha log in kwa kuandika
User name ni namba yako ya usajili kwa herufi ndogo bila kuweka mkwaju. Mfano: bamc20223006
Password ni jina lako la ukoo kwa kuanza na herufi kubwa kisha herufi nyingine ndogo ikifuatiwa na @2023 .
Mfano: Mussa@2023
Kwa msaada zaidi, @ospesaut
.
.
.#sautso
.#saut
.#saut_mwanza
.#sautfm96
.#03plus
Kila Siku Kama Vijana Tunakumbana Na Changamoto Kede Kede Katika Kuhakikisha Tunapambania Kesho Iliyobora
Changamoto Za Kimfumo,Kijamii Na Kiuchumi Zinasalia Kama Kizingiti Kwa Kwa Kijana Wa Kitanzania Bila kujali Amemaliza masomo Yake Au Yupo Mtaani Anavuja Jasho
Fumbo Linalohitaji Kufumbuliwa Ni Kwa namna Gani Utaweza Kumsaidia Kijana Anayekutana Na Vikwazo Lukuki Ikiwemo Na Ukatili Wa Kijinsia Ili Kufanikisha Malengo Yake ?
#popotenitakusikiliza
#youthempowerment
#youthchampion
#youthchangemakers
Siku ya jumamosi Mei 31, 2025 tulifanikiwa kuwa na Dkt. Benny Kimaro, Daktari Bingwa wa uzazi na magonjwa ya wanawake kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili.Tuliweza kujifunza kuhusu hedhi salama na mabadiliko yanayotokea kwa mwanamke/binti wakati wa hedhi. Pia tulipata nafasi ya kuwa na mjadala huru kuhusu hedhi na nafasi ya wanaume kwenye kutoa elimu ya hedhi.
Shukrani zetu ziende Kwa Dkt. Benny Kimaro, waratibu wa mdahalo ambao ni waelimishaji rika kutoka SAUT na IRDP Mipango Mwanza. Pamoja na wasimamizi na waandaji Vijana Mabalozi wa miradi ya Elimu kwa Afya na Ustawi UNESCO.
#hedhi_salama #peereducation
Katika kuadhimisha siku ya Hedhi Salama Duniani tarehe 28 Mei, 2025, ulikuwa ni wakati mzuri kwetu sisi Waelimishaji Rika kutoka chuo cha SAUT na IRDP - Mipango Mwanza kupata nafasi ya kuwaelimisha mabinti katika shule za msingi Kisesa 'A' na Kitumba mkoani Mwanza kuhusu hedhi salama na usafi wa mwili.
Utoaji wa Elimu hii ni utekelezaji wa kuwajengea mabinti mazingira wezeshi ya kujiamini, kuzungumza na kutafuta msaada wanapokuwa katika kipindi cha hedhi.
.
.
.
#education #03 #03plus #youngpeopletoday
#girlstalk #hedhi_salama
Siku ya Hedhi Salama Duniani 2025: Ni muhimu kuwafundisha mabinti wa shule kuhusu hedhi salama na usafi binafsi. Kuwajengea uwezo wa kuelewa miili yao na kudumisha usafi wakati wa hedhi huwapa uhakika na afya bora, kuwawezesha kufikia ndoto zao bila vikwazo!
Jiunge nasi leo!
.
.
#O3 #O3Plus #GenderEquality #EndViolence #ConnectWithRespect #Education #menstrual
#EHWYouthAmbassador #HedhiSalama #ElimuKwaMabinti
My vision for a safer campus is a goal we can achieve together. Each of us has the power to make a difference, no matter how small, as long as we keep moving forward.
I would like to acknowledge the entire team involved for your efforts in producing this video.
Thanks: @unesco@o3unesco@saut_mwanza@sautso.habari
#BreakingtheSilence #SaferCampusesCampaign
#O3 #O3Plus #GenderEquality #EndViolence #ConnectWithRespect #Education
#EHWYouthAmbassador
Happy New Month, Kijana! Afya na Ustawi wako ni muhimu. Tunapoanza mwezi Machi, fanya maamuzi sahihi kuhusu afya yako.
#o3 #o3plus #ehw #ehwyouthambassador
Ni taasisi saidizi kwa wafunzi wa Chuo Cha SAUT Mwanza,Tumelenga kuwa na ustawi kwa vijana (wanafunzi) Kwa nyanja zote tajwa hapo juu.Tunapatikana Ofisi za Youth study Zone karibu na ofisi ya school of Education,Karibu kwa usaidizi wasiliana nasi kwa namba ya simu 0747857331/0623 022 931
Pichani ni viongozi wa OSPE,pamoja na viongozi wa SAUTSO wakati wa kikao kilichofanywa na viongozi ao kwa lengo la kuhakikisha tunakuwa na campus salama ndani ya Chuo Cha SAUT na ushirikiano katika utendaji kazi.
Ulikuwa ni wasaa mzuri kwa taasisi ya OSPE pamoja na Radio SAUT fm 96.1 kupata nafasi ya kuzungumzia mchango wa waelikishaji Rika chuoni na namna ambayo kijana anaweza kushiriki kupinga ukatili wa kijinsia.#We read .we listen and share
.
.#SAUT FM
.#genderequality
.#youthactivism