Leo #Cloudsmediagroup tunamsherehekea Malkia mwenye maono aliyethubutu na kuamini sauti za wanawake zina nafasi ya kusikika duniani. Mwanamke aliyebeba ndoto, akaigeuza kuwa nyumba ya maelfu ya wanawake kupata nafasi, kusikika na kuamini katika thamani iliyopo ndani yao kupitia #MalkiaChoiceFM.
Kwetu CMG wewe ni Mkurugenzi Mtendaji, Kiongozi mahiri, lakini kwa wengine wengi zaidi, Wewe ni Mwanga, Nafasi, Motisha, na Sababu ya wanawake wengi kusimama tena kwa kujiamini. Asante kwa kuwa sauti ya wanawake. Asante kwa kujenga familia ya Malkia kwa upendo, maono na moyo wa kipekee.
Asante Kukoleza Levels kwa Alama hii ya Kipekee (
@malkiachoicefm ) itakayodumu vizazi na Vizazi. Happy Birthday Mkurugenzi Mtendaji, Malkia Choice Fm, Malkia wa Nguvu, Juhayna Ajmy Kusaga (
@ajmy_inna ) #Nyoosha2026