Mwenyew Mungu awabariki sana mashabiki kwa kupiga kula na kufanikisha kutwaa. tuzo hii 🙏🙏🙏
Pia nipende kuwashukulu wachezeji wenzangu pamoja na benchi la ufundi namini tulipambana kwa pamoja Na kufanikisha kupata tuzo hii
Napenda kuwashukulu viongozi kwa kusimama na sisi kwenye kila hatua Mungu awabarik san🙏🙏
Hiii Niyakwetu sote 🙏🙏🙏
@mzizetv
Came to see my Brother @clementinho49 .. and wished him a speedy recovery…
Get well soon Kaka yangu and Come back strong💪🏾🙏🏾🤝💚💛
Good seeing @moses_etutu too 😊