THE MIX MASTER

@djsamgram

Proud Citizen Of Tanzania 🇹🇿 📻Radio DJ @cloudsfmtz
Followers
301
Following
21
Account Insight
Score
20.79%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
14:1
Weeks posts
NIMECHAGULIWA NA BWANA mwaka 2025 Kumiliki Kutawala. Kama Unakiri Maneno Haya Tukutane Jumapili Hii @cloudsfmtz kuanzia Saa 12:00 Asubuhi. Tuyakiri maneno haya tukiongozwa na @pendo_kihayile .... Mshtue na Jirani Tupatane YouTube: Clouds Media. Usikosee. Cc @favvie_tz @justdolaa @yuda_jay @djsamgram @hurumacharles
11 1
1 year ago
Hii ndio list ya nyimbo 9 bora zilizotoka mwaka 2024 na zikafanya vizuri. Namba 10 tumekuachia tupe nyimbo yako iliyotoka mwaka huu na kufanya vizuri na ipi iliyotoka mwaka huu imekubariki zaidi? Cc: @hurumacharles @favvie_tz @pastordolaa @yuda_jay @djsamgram @joellwaga @obbyalpha @officialbellakombo @evelynwanjiru_a @essenceofworshipministries @mt.seciliamakuburi @ministerpaulclement @dr.ipyana @neemagospelchoirtz @rehema_simfukwe @henrick_mruma @eliyamwantondo
6 0
1 year ago
Tuliufahamu upande mmoja wa maisha yake ya Muziki wa Bongo Fleva alipokuwa Tanzania, Jumapili hii @vanessamdee yuko tayari kufunguka kuhusu maisha yake mapya ya wokovu, huduma, malezi na familia kwa ujumla. Usikose kusikiliza #GospelTraxx ya CloudsFm kuanzia saa 12:00 asubuhi na tutakuwa LIVE pia kupitia YouTube ya CloudsMedia Cc: @hurumacharles @favvie_tz @djsamgram @yuda_jay @pastordolaa @cloudstv
12 0
1 year ago
Fedha ina nafasi gani katika ndoa? Je ndoa inaweza kuharibika kwa sababu ya fedha? Tukutane kesho kwenye #GospelTraxx ya Clouds Fm na Mwanasaikolojia @chrismauki_ kuanzia saa 12 asubuhi na tutazungumzia fedha na Mahusiano. Unaweza pia kufutilia Live kupitia YouTube ya CloudsMedia Cc: @hurumacharles @favvie_tz @pastordolaa @yuda_jay @djsamgram
9 0
1 year ago
Karibu kwenye #GospelTraxx ya #CloudsFM
1,200 390
1 year ago
Mhubiri Pastor Iman Mwakanyamale @iman_mwakanyamale kutoka Building The Temple of God (BTG) Ministry @btg.ministry amesema Yesu atakuja wakati wa amani na sio kama watu wanavyofikiri sasa kuwa atakuja wakati wa matukio. #GospelTraxx
1,281 35
1 year ago
"Mitandao naitumia kwa ajili ya kazi na kazi yangu ni Injili. Kuna watu hawajui kama nina mtoto lakini nina mtoto na hii ni kwa sababu unapo-expose baadhi ya vitu unaruhusu vita ambayo wengine hawako tayari kupigana nayo. Mfano mimi nikiposti picha yangu ukanitukana nimejiandaa kwa hilo lakini mke wangu au mtoto wangu utakuwa unawatesa kisaikolojia kwa sababu hawajajiandaa na hiyo vita. Wakiwa wamejiandaa vya kutosha na wako tayari kupigana hiyo vita naweza kuwaposti. Sio kila vita lazima upigane. Kuna vita nyingine zinakuja kwa ajili ya kukutoa kwenye mstari sio lazima upigane. Vita nyingi ambazo tunapigana zimeletwa kwa ajili ya kutupotezea muda" - Mhubiri Pastor Iman Mwakanyamale @iman_mwakanyamale kutoka Building The Temple of God (BTG) Ministry @btg.ministry #GospelTraxx
4,367 53
1 year ago
Karibu kwenye #GospelTraxx ya Koinonia yaani #GospelTraxx ya ushirika na Roho Mtakatifu na yapo mengi kwa ajili yako Jumapili hii kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka saa 3:00 asubuhi. #GospelTraxx
60 0
1 year ago
Shalom Choir kutoka Kibamba Assemblies of God (TAG), watakuwa nasi kwa ibada ya kumsifu Mungu! f Jiandae kwa muziki mzuri wa injili na mambo mengi mazuri. Ni kuanzia Saa 6:00 asubuhi mpaka 9:00 asubuhi! Cc @tagkibamba321 @hurumacharles @favvie_tz @yuda_jay @djsamgram @justdolaa
5 0
1 year ago
Beda Andrew, @bedaandrew Mwimbaji wa Injili mwenye sauti ya kipekee na ujumbe wa kumgusa kila mmoja. Jumapili hii Beda Andrew atakuwa na jambo lake mwenyewe siku ya Leo pale Makumbusho ya Taifa Posta akiwa na theme isemayo “Right Moment / Wakati Sahihi”, akiwa na Watumishi mbali mbali. Mengi utayajua Zaidi Kwa Jiunge nasi hapa Clouds Fm tukimsifu Mungu kupitia nyimbo za kuinua mioyo na mahojiano ya kina kuhusu huduma yake. Usikose kuungana nasi Clouds FM radio pia cloudsmedia YouTube kuanzia saa 6:00 hadi 9:00 asubuhi! Cc @yuda_jay @pastordolaa @djsamgram @favvie_tz @hurumacharles
5 0
1 year ago
Jumapili hii kwenye Gospeltraxx, Mhubiri Pastor Iman Mwakanyamale kutoka Building The Temple of God (BTG) Ministry! Atashirikisha nasi ujumbe muhimu kuhusu End-Time Awakening (Uamsho wa Siku za Mwisho). Ujumbe huu ni wa kipekee na unalenga kutuandaa kwa nyakati za mwisho. Umejiandaaje?? Ungana nasi Clouds FM radio ya watu au cloudsmedia YouTube, kuanzia saa 6:00 hadi 9:00 asubuhi! [email protected] na @iman_mwakanyamale kwa mafundisho zaidi. #GospelTraxxCloudsFm
6 0
1 year ago
Kama ulikuwa unawaza kama matamasha ya Injili yanaingia faida basi tumemuuliza Mkurugenzi Yona Sonelo (Rungwe} walitumia gharama kiasi gani kumleta Mercy Chwino? Ametujibu: "Kumleta Mercy Chwino ilitumika Milioni 190, na katika viingilio ilipatikana milioni 80. Na tulimleta Mercy kwa sababu tulifanya uchunguzi na kuuliza watu ambao wamezama sana katika Gospel nani anapendwa kwa sasa kwa sababu hadi wanaopenda mziki wa dunia wanasikiliza mziki wa Injili kwa sasa" #GospelTraxx
20.8k 309
1 year ago