Rapa @nikkimbishi999 amefunguka baada yakushiriki kwenye Show ya @professorjaytz weekend iliyopita, akimtaja kama Msanii mwenye safi pengine kuliko Wasanii wengi wa Bongo, Msikie hapa kwenye #Whatspoppin
My nigga UNJU @nikkimbishi999
Nilikupigia simu kukuomba ushiriki concert ya Jay, ukaniambia iko poa ila uko TOUR na @tukusa_clan na mnaelekea Tunduma na ukirudi utanicheki…
Uliporudi chap ukanicheki na ukaja studio kwenye rehearsal kwa siku moja tu lakini kazi uliyokuja kuifanya ni ya maandalizi ya MWAKA mzima!
NB: Hakuna Nigga aliyewahi kufunika vile kwenye show just kwa kupiga BACKUPS!🙌🏾🔥
@bongoflavahonors@efmtanzania@professorjaytz
#MayDayWasJayDay
UNJUU BABAAA NIKKI BABA ASANTEE KWA HILI MWAMBA
Maaanaa Kuna performances… halafu kuna huu unyama unaobadilika kuwa memory isiyo futika. daaah kweli hii ya jana @nikkimbishi999 aliamua kutuachiaa HISTORIA
Jana kwenye jukwaa la Bongo Honors, Nikki Mbishi hakuja kucheza wazeeee eeeh alikuja kuthibitisha yeye ni nanii kwenye hii HipHop ya bongoo. Picha linaanza Akapanda jukwaani, akachukua MIC akasema huu mzigo wa Professor Jay huu niachieni mimi huu naumuduu huu naubeba mabegani kwa heshima ya Legend wa hii Game. kilichofata ni historia mjini instaa Wazungu haooo🔥🔥
Mhuni kapita Line baada ya line, verse baada ya verse yaaanii hakuna kudema demaaa eeeeh nikki babaaaa unjuu babaaaa kama tuliwahi kukukosea adabu tusamehee kaka ni utoto tu tukikua tutaachaa😂😂 🙌🏼🙌🏼 Yaanii ni hivii kama vile ngoma zote za JIZE mhunii yeye ndo aliziandika daaaah unju eeeeeh !!😂🙌🏼
Hii haikuwa tu kuimbaa wazeee hii ilikuwa ibada ya hip hop watu waliimbishwa na wakatubuu😂😂 walishuhudia show ya maaana mwana kala njumu kavaa jezi kaicheza gemu kama yake vileee kweli hii ni Heshima kubwa kwa Legend
Oyaaaa moto wake sasaaaa duuuh Asante sana Nikki kwa huu upendo na heshima kwa Legend @professorjaytz
TUMPE TANO MWAMBA👊👊
#StoryZaMastaa #SZM #NikkiMbishi #ProfessorJay
Mwamba Wa Kaskazini @johmakinitz kaimeza verse yote ya Bongo Dar Es Salaam aliyochana @professorjaytz
Ameibuka kumsapoti Jay Wa Mitulinga show ya BongoFlava Honors!
@eastafricaradio
APPRECIATION POST KWA UNJU (NIKKI MBISHI)
@nikkimbishi999 anazifahamu nyimbo karibu zote za @professorjaytz ,neno kwa neno mstari kwa mstari hivyo leo alikua anashuka na wimbo baada ya wimbo za professor Jay na kuperform vzuri kabisa,Nikki amefanya kazi kubwa sana mwanzo mwenga
Kimsingi Prof anamkubali NIKKI na NIKKI ANAMKUBALJ JAY upendo wao kwa kila mmoja hakika umeonekana leo.