Mitaa ina vumbi Ila ndoto hazichafuki,unapounguzwa na maisha moshi haufuki,mbele ya magoliati na yao mikuki,kombeo la baraka Ndio Yangu BUNDUKI,hakuna matokeo makubwa kwa maono mafupi,motivation is perishable Chris Mauki. another one #Imani by @weusiofficial is out now link in my bio let's go
Huwa inasisimua sana unapokuta mtoto mkali halafu anajua ngoma kali kiasi cha kupiga bars namna hii kinyamwezi saaana @_.niffer._ if you know you know
#Acitybars #levels #NusuNusu #Classic