Muziki Unaongea 🎶

@efmtanzania

📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
Posts
97.7k
Followers
5.0m
Following
3
Account Insight
Score
59.15%
Index
Health Rate
80%
Users Ratio
1686471:1
Weeks posts
119.89
Marais Wawili Wameamua Kuweka Nia Ya Pamoja - Balozi Mindi, Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tumeshakuwekea Mahojiano Haya Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA ) Cc @irenekillenga #JotoKaliLaAsubuhi
23 3
23 minutes ago
Tanzania Jiografia Imetubeba - Balozi Mindi, Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tumeshakuwekea Mahojiano Haya Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA ) Cc @irenekillenga #JotoKaliLaAsubuhi
89 2
38 minutes ago
Kila Sekta Ina Jukumu La Kuagalia Maendeleo Ya Vijana Katika Sekta Hiyo - Balozi Mindi, Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tumeshakuwekea Mahojiano Haya Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA ) Cc @irenekillenga #JotoKaliLaAsubuhi
221 4
55 minutes ago
Mengi Mazuri Na Makubwa Yanazungumzwa Muda Huu Na Balozi Mindi, Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tupo LIVE Kupitia @tvetanzania Pamoja Na Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA ) Cc @irenekillenga #JotoKaliLaAsubuhi
44 2
1 hour ago
Duniani Kote Kuna Ushindani Wa Kiuchumi - Balozi Mindi, Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tupo LIVE Kupitia @tvetanzania Pamoja Na Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA ) Cc @irenekillenga #JotoKaliLaAsubuhi
169 5
1 hour ago
Maswala Tuliyoyapa Kipaumbele Wakati Huu Ni Mtazamano Wa Kikanda Ili Kuleta Mafanikio Ya Kiuchumi - Balozi Mindi Kasiga - Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tupo LIVE Kupitia @tvetanzania Pamoja Na Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA ) Cc @irenekillenga #JotoKaliLaAsubuhi
30 2
1 hour ago
Kuanzia Saa Moja Kamili Asubuhi Tutakuwa Na Mazungumzo Na Balozi Mindi Kasiga - Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tutakuwa LIVE Kupitia @tvetanzania Pamoja Na Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA ) Cc @irenekillenga #JotoKaliLaAsubuhi
8 2
2 hours ago
"Na wapo watu wengine wanasema Chama cha Mapinduzi ni Chama cha wazee, ndio tunakubali ni chama cha wazee; na ukiona chama hakina wazee ni kigenge cha wahuni sio chama cha siasa" "Wazee hawa ndio waliozaa baba zetu, uongo kweli ,bila wazee tungekuwepo? Bila wazee kupigania nchi hii tungeikuta? Wapigieni wazee wakiongozwa na Nyerere kazi kubwa walioifanya kulinda taifa hili" Hayo yamesemwa na Wilaya ya Bunda mkoani Mara na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi katika viwanja vya wilaya vya CCM ikiwa ni katika mwendellezo wa ziara zake mkoani humo. #EDigitalUpdates
860 140
10 hours ago
Ijue Bima ya Kilimo @nic_insurance #elimikanabima #sisindiyobima
74 1
10 hours ago
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam wameonesha kuridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Mkurugenzi wa Jiji hilo ndugu Elihuruma Mabelya katika kukwamua miradi iliyokwama kwa muda mrefu. Akizungumza wakati wa kikao cha Baraza hilo cha robo ya tatu ya mwaka 2026 cha kujadili taarifa za utendaji kazi wa Halmashuri ya Jiji hilo, Diwani wa kata ya Kipunguni B, Mhe. Stephen Mushi amesema Mkurugenzi huyo ameweza kutekeleza yale yaliyoshindikana kwa miaka mingi. "Kwa niaba ya Baraza hili nikupongeze sana Mkurugenzi,mimi sio chawa na sina uchawa... Umeweza kumalizia miradi yote iliyosimama la sivyo leo hii tungekuwa na magofu tu". Alisema Diwani Mushi Aidha amempongeza Mkurugenzi Mabelya kwa hatua ya kuvunja mikataba iliyokuwa inachangia jwa kiasi kikubwa kushindwa kukamilika kwa miradi hiyo. Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ni moja ya Halmashauri zinazokusanya mapato makubwa ambapo kwa mwaka wa fedha wa 2026 imepanga kukusanya zaidi ya Shilingi bilioni 152. #EDigitalUpdates
1,359 7
10 hours ago
Sisi @absa_tanzania pamoja @runnerstanzania tunasema Asante kwa wadhamini ambao wametushika mkono na watanzania ambao wamejitokeza katika Absa Dar City Marathon 2026. #DarCityMarathon #RunnersTanzania #RunTheCity #OwnTheMoment #FeelTheBurn
136 2
11 hours ago
SIMBA WAMEKAMIA MECHI, WALIKUJA KUMKABA CHOBWEDO TU. FT: Simba 4-0 TRA United Alichokisema Afisa Habari wa Klabu ya TRA United Mis @mwagala.christina baada ya kupoteza goli 4 kwa bila dhidi ya Simba. ✍️: @mbwana_mshindo #EDigitalUpdates
9,565 487
11 hours ago