Mawakili wa Balozi Mstaafu, Humphrey Polepole wamezitaka mamlaka za usalama wa raia na mali
zao kutumia mbinu na rasilimali zote za umma kuhakikisha, na kisha kutoa taarifa kwa umma wa Watanzania, na Dunia kwa ujumla, juu ya hali ya usalama, na maslahi ya kisheria ya Polepole.
Kupitia barua ya leo Oktoba 06, 2025 iliyoandikwa na Wakili wa Polepole, Adv. Peter Kibatala kwenda kwa
Mamlaka husika, Mawakili hao wamezitaka Mamlaka husika
kuhakikisha Polepole anapatikana akiwa hai na kubainisha kuwa watatoa taarifa zaidi kuhusu hatua watakazozichukua kwa kushirikiana na watu, na Taasisi mbalimbali Duniani kote.
Haya yanajiri ikiwa ni masaa kadhaa baada ya kusambaa kwa taarifa kutoka kwa baadhi ya ndugu wa Polepole wakidai kuwa Balozi huyo Mstaafu ambaye pia amehudumia Nchi yake katika nyadhifa mbalimbali za utumishi wa umma ametekwa huku Jeshi la Polisi likisema limeanza kufanyia kazi taarifa hizo ili kubaini ukweli wake.
Marais Wawili Wameamua Kuweka Nia Ya Pamoja - Balozi Mindi, Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Tumeshakuwekea Mahojiano Haya Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA )
Cc @irenekillenga
#JotoKaliLaAsubuhi
Tanzania Jiografia Imetubeba - Balozi Mindi, Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Tumeshakuwekea Mahojiano Haya Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA )
Cc @irenekillenga
#JotoKaliLaAsubuhi
Kila Sekta Ina Jukumu La Kuagalia Maendeleo Ya Vijana Katika Sekta Hiyo - Balozi Mindi, Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Tumeshakuwekea Mahojiano Haya Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA )
Cc @irenekillenga
#JotoKaliLaAsubuhi
Mengi Mazuri Na Makubwa Yanazungumzwa Muda Huu Na Balozi Mindi, Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Tupo LIVE Kupitia @tvetanzania Pamoja Na Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA )
Cc @irenekillenga
#JotoKaliLaAsubuhi
Duniani Kote Kuna Ushindani Wa Kiuchumi - Balozi Mindi, Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Tupo LIVE Kupitia @tvetanzania Pamoja Na Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA )
Cc @irenekillenga
#JotoKaliLaAsubuhi
Maswala Tuliyoyapa Kipaumbele Wakati Huu Ni Mtazamano Wa Kikanda Ili Kuleta Mafanikio Ya Kiuchumi - Balozi Mindi Kasiga - Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Tupo LIVE Kupitia @tvetanzania Pamoja Na Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA )
Cc @irenekillenga
#JotoKaliLaAsubuhi
Kuanzia Saa Moja Kamili Asubuhi Tutakuwa Na Mazungumzo Na Balozi Mindi Kasiga - Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Tutakuwa LIVE Kupitia @tvetanzania Pamoja Na Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA )
Cc @irenekillenga
#JotoKaliLaAsubuhi
Usiogope kuwa Wewe Dunia Inawatu Tuliwaamini Kumbe ni Watu Wa HOVYO kabisa🚮📌 Mdogo wangu @jumalokole_02 Nitakufundisha Kunywa Kabeer kidogo utaanza kuchanganya na Soda 😂 Huwezi kutoa Stress na Juice ya EMBE 😜😂😂
#machonikamawatumoyonihawanautu