PROFESSOR JAY FOUNDATION

@professorjayfoundation

Creating a better community for everyone Launched : December 2023
Followers
24.3k
Following
20
Account Insight
Score
38.11%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
1220:1
Weeks posts
Safari ndio inaanza upya, baada ya shukrani kubwa sana kwa MWENYEZI MUNGU kwa kuzidi kusimama na afya na kuzidi kuimarika, kilichokosa ni moyo wakukata tamaa kuendelea kuwagusa wahitaji chini ya taasisi ya @professorjayfoundation , uhitaji umekuwa mkubwa sana na tunaamini hakuna linaloshindikana kwa kuunganisha nguvu #JAY ANAKUZIMIA
1,056 12
1 year ago
THE LEGEND IS BACK🔥🔥🔥 NAJUA WATANZANIA WENGI WANAKIU YA KUTAKA KUKUONA UKISIMAMA TENA IMARA SO LETS DO IT LEGEND @professorjaytz @mke_wa_profjize @professorjayfoundation Client @professorjaytz Trainer @bruno.trainer Gym @pulsetanzania Foundation @professorjayfoundation Manager @mke_wa_profjize
31.3k 992
11 months ago
Naibu waziri wa Wizara ya Afya Dkt Godwin Mollel amemuwakilisa Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kuzindua taasisi ya @professorjaytz ( @professorjayfoundation ) ya kusaidia wagonjwa wa figo nchini . Jay Anakuzimia na @professorjayfoundation iko-verified karibu kutoa mchango wako .
29.0k 504
2 years ago
Usiku wa professa jay
0 6
15 days ago
The coming back of the Legend @professorjaytz 🔥🔥
2,573 88
16 days ago
Failing isn’t about falling down, it’s about staying down.” 🔥 Tunamshukuru mungu snaa kwa hatua tulifikia hivi sasa my brother @professorjaytz anaendelea vizuri na yuko tayari kwa show yake kubwa ya tarehe 1 mwezi 5 Dar es salaam @therealjongwe Client @professorjaytz Trainer @bruno.trainer Gym @pulsetanzania Foundation @professorjayfoundation DM me for home training ( Personal Trainer ) CALL/TEXT WHATSAP 📞+255656201929
12.2k 496
1 month ago
THE CHAMPION IS BACK 💪🏽💪🏽🔥🔥💣💣🔥💣 TUKIWA KWENYE MAANDALIZI YA SHOW YETU KUBWA YA KIHISTORIA YA @bongoflavahonors ITAKAYOFANYIKA TAREHE 1 MWEZ WA 5 JIJINI DAR ES SALAAM IKIWA CHINI YA @therealjongwe Client @professorjaytz Trainer @bruno.trainer Gym @pulsetanzania Manager @mke_wa_profjize Foundation @professorjayfoundation #MAYDAYISJAYSDAY DM me for home training ( Personal Trainer ) CALL/TEXT WHATSAP 📞+255656201929
5,174 190
1 month ago
Hii ni hali ya kuvimba kwa ini, mara nyingi husababishwa na virusi kama Hepatitis A, Hepatitis B, au Hepatitis C. Dalili kuu za homa ya ini Dalili zinaweza kutofautiana kulingana na aina ya hepatitis, lakini mara nyingi ni: • Uchovu mwingi • Homa ndogo (mwili kuwa na joto) • Kichefuchefu na kutapika • Kukosa hamu ya kula • Maumivu upande wa juu kulia wa tumbo (eneo la ini) • Ngozi na macho kuwa ya njano (hii huitwa jaundice) • Mkojo kuwa mweusi • Kinyesi kuwa chepesi sana (rangi ya udongo) • Mwili kuwasha Dalili za hatari zaidi (tafuta matibabu haraka) • Kuchanganyikiwa au kupoteza fahamu • Tumbo kujaa maji (kuvimba) • Kutokwa damu kirahisi Muhimu kujua • Baadhi ya watu, hasa kwa Hepatitis B na Hepatitis C, wanaweza wasionyeshe dalili mapema lakini ugonjwa unaendelea ndani kwa ndani. • Homa ya ini inaweza kuenea kupitia maji/chakula chenye uchafu (A), damu au ngono (B na C). Ushauri Ikiwa una dalili hizi, ni muhimu: • Kufanya vipimo hospitalini • Kuepuka pombe • Kula lishe bora • Kupata ushauri wa daktari mapema Mtu wa nguvu, hakikisha unazingatia na kujali zaidi afya yako hili kuzidi kuwa salama dhidi ya magonjwa mbalimbali. #HOMA YA INNI NI NOMA @wizara_afyatz @professorjaytz @professorjayfoundation
0 0
1 month ago
THE LEGEND IS BACK🔥🔥🔥 NAJUA WATANZANIA WENGI WANAKIU YA KUTAKA KUKUONA UKISIMAMA TENA IMARA SO LETS DO IT LEGEND @professorjaytz @mke_wa_profjize @professorjayfoundation Client @professorjaytz Trainer @bruno.trainer Gym @pulsetanzania Foundation @professorjayfoundation Manager @mke_wa_profjize DM me for home training ( Personal Trainer ) CALL/TEXT WHATSAP 📞+255656201929
5,323 250
1 month ago
Ikiwa ni siku ya figo duniani @professorjayfoundation tunaendelea kuhimiza jamii kutunza afya kwaujumla na kulinda figo kwani afya ni mtaji namba moja wa kila jambo, juhudi za kuendelea kuelimisha jamii ni juhudi endelevu na zinazohusisha jamii yote na kila mmoja wetu. @professorjaytz @professorjayfoundation @bongoflavahonors
0 7
2 months ago
Anaandika @aman_martins . 2016 nilikwenda Dodoma kuripoti habari za Bunge mara ya kwanza. Kwenye mgahawa mmoja, Prof Jay anakubali kuonana nami na kunipa ananipa stori za maisha yake. . Alama yake katika maisha ya Watanzania, iko kwenye Muziki alioanza mwaka 1989, kisha 1994 alipojiunga Hard Blasters Crew, kabla ya kutubariki na album 6 na Nyimbo kibao. . Anafahamika sana kwa haya: . 1. KAHESHIMISHA #HIPHOP: @adamchomvu aliwahi kusema “Credit kubwa ya Prof ni jinsi alivyowafanya watu wote hata wazee kuona huu sio mziki wa Kihuni”. Kauli hiyo nimeisikia na kuithibitisha kupitia wajuzi wengine pia wengi wakisema ngoma yake ‘Chemsha Bongo’ ni kati ya mifano mizuri ya ngoma zilizopenya kwa rika zote. . 2. KIPAJI CHA KIPEKEE: Nilimsikia Prof mwenyewe akisema “Hakuna msanii wa Hiphop anayefanya kitu ambacho leo ambacho me sikufanya tangu zamani”. Vitu hivyo ni vya kuhusu muziki tu kwa maana ya flow na maudhui. Wewe fuatilia utagundua hili ni la ukweliz Prof kaimba vitu vingi mnooo, na hadi leo anafanya hivyo. 3. UTU: Prof ana kila sababu ya kupandisha mabega, lakini siku zote anajishusha.Ndio maana katika matatizo yake, watu wengi walikuwa karibu yake, mtu wa watu kwelikweli. . Pamoja na yote, andiko hili ni maalum kwa #Wapambanaji wengi wanaopitia Magumu. Labda umeunguka kimaisha, au unaumwa: mtazame @professorjaytz . Katika nyakati ambazo kila mtu alikata tamaa, ukuu wa Mungu ulidhirihirika. Siku 462 hospitali (alikaa ICU siku 127) ziwe tumaini na ukumbusho kwako kwamba huo sio mwisho, usijikatie tamaa, utasimama tena. . #Champ, #JaridaLaChamp. 23/09/2025
588 8
5 months ago
Taasisi ya @professorjayfoundation daima inatambua mchango wakipekee wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwenye ujenzi wa Taifa letu, mchango ambao hakika ni hazina isiyofutika na inayo stahili kuenziwa. #happynyerereday #pjfncdprogram #jayanakuzimia
0 0
7 months ago