Kijiji cha Ikukwa, Kata ya Ikukwa, Mbeya vijijini jana ✌🏾🔥
NB: Hapa ni kijijini sio town, haki naelewa uoga wa CCM maana sio kwa kukataliwa huku na wananchi, na NB inawahusu😎
#LiMwenyekiti #FREELISSU
#TunaendeleaTulipoishiaNyasa
Kata ya Ikukwa, Mbeya vijijini leo ✌🏾🔥
NB: SISTY/MSAJILI unaweza kujaribu kuifuta CHADEMA kwenye makaratasi yako hapo kwenye ofisi yako , lakini hutaweza kuifuta kwenye MIOYO ya WATANZANIA wa leo na NB inakuhusu!😎
#LiMwenyekiti #FREELISSU
Nineteen kweusi na Wanangu Ibra Balaa (Kati) na Bo Bo (RIP) mjini Musoma kitambo hiyoo hata mwaka sikumbuki…🔥
NB: Ukiangalia mkononi, shingoni, vidoleni na sikioni kote hiyo ni hela, MATAKO YAKO! 😎
#TAITA #FREELISSU