Learn. Connect. Execute.

@learnwithsako

LEARN. CONNECT. EXECUTE.
Followers
33
Following
4
Account Insight
Score
12.17%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
8:1
Weeks posts
My February Recap ✅ 2 Books • You Become What You Think By Subham K. Singh • The Power Of Your Subconscious Mind J. Murphy ✅ 1000+ Minutes YouTube Videos • Ruge Archive • The MIT Monk ✅ RUGE ARCHIVES + RUGE 7 Post ✅ Started WL Project Execution (Hili nitaeleza kwenye post zijazo) ✅ #NilinyooshaLove @damdam_marathon ✅ Attended @fikrazinduka Event ✅ 30+ hrs of reflection + 28 days of Journaling ✅ 20+ New Connections ✅ 12 Days of intense physical exercise SPECIAL THANKS: February nimefanikisha yote hayo lakini Kuna wengi ambao waliwezesha kwa namna moja ama nyingine,nachukua nafasi hii kuwapa maaua yao @remmymbowa_ @marcel__kitabu @praf.paparaz @henry_mwinuka_esq @djsma255 @skytanzania @katunzi_tza Na kipekeee kabisa shukrani kwa brother @Soudybrown mazungumzo ya tarehe 13 Feb yalikuwa noma sana niliokota madini mengi sana sana , shukran sana brother 🙏🏿 Na bila kuwasahau wengine wote ambao kwa namna moja ama nyingine tuli cross path Mwezi February Thank You All 🙏🏿🫡 MY MARCH RESOLUTION ☑️ 2-3 Books ☑️ 10+ YouTuber Videos and Podcasts ☑️ Attend as Many events as available and possible ☑️ 31 Days Journaling ☑️ 20 days of intense physical exercise ☑️ Final Preparation to launch WL officially ☑️ 3 Days of Reset (Total Rest and Reset) ☑️ 3 -5 Social Media Post excluding this March resolution sio constant itabafilika kulingana na uhitaji na circumstances zitakazojitokeza Shukrani kwa kuendelea kufuatilia safari yangu ya #LearnConnectExecute
38 6
2 months ago
Leo imetimia miaka 7 tangu tuanze kusherehekea maisha ya Ruge Mutahaba, Jasiri Muongoza Njia, Scofield, Mastermind, Licha ya Miaka mingi kupita, maumivu Bado ni mabichi as if ilikuwa Jana tu, Ilikuwa ndoto kwangu kukutana nae siku moja lakini ndoto haikuweza kuwa kweli, lakini maisha yanasonga, binafsi naendelea kutumia maisha yake kama shule na ninaendelea kufanya kuwa Mwalimu kwangu kwasababu naamini Nina mengi sana ya kujifunza Kama alivyotutaka tusilie bali tusherekee maisha yake, Mimi huwa nasherekea kwa kurudi kwenye archive zake kuchota madini #Ruge7 ni mambo 7 ambayo nimejifunza kutoka kwenye Legacy yake,natumaini na wewe una la kujifunza hapo Endelea kupumzika kwa amani #JasiriMuongozaNjia #Ruge7
29 3
2 months ago
📌 14/02/2026 Jana nilishiriki Dam Dam Marathon kwa mara ya kwanza tangu imeanzishwa mwaka 2021 2022-2025 nilikuwa na nafasi na uwezo wa kushiriki lakini nilikuwa nikikwepa kushiriki kutokana na uzembe na ule woga wa kuhisi kuwa kushiriki Dam Dam Marathon sio vitu vyangu, au Dam Dam Marathon sio sehemu yangu ni sehemu ya watu flani flani na kwamba sistahili kuwepo kule, Hayo mawazo yamekuwa yakinirudisha nyuma mno Lakini leo ninafuraha kwasababu ninaamini maisha yangu hayatakuwa the same baada ya kushiriki Dam Dam Marathon Shukran brothers, @remmymbowa_ @marcel__kitabu @praf.paparaz @johnjakson_tz kwa kuninyooshea, nime experience na kujifunza mengi sana.🙏🏿 Na tukio langu bora Dam Dam ni kuzungumza na brother @JohnJackson_tz , ulikuwa wakati mzuri sana kuzungumza nae tumezungumza vitu vingi sana kuhusu kazi na maisha kiujumla JJ yeye ananyoosha kupitia WhatsPopN ya XXL , Ghetto Podcast na Drip check Kitu special kuhusu tukio hili la kuzungumza na brother JJ ni kwamba, kwanza ni mtu mpya ambae sikuwahi kuzungumza nae kabla japo nilikuwa namuona,Kumfahamu na Kumfuatilia kama brother na Role Model kwangu na kwa vijana wengi sana, kilichokuwa kinamisi siku zote ni mimi kuanzisha conversation in which Leo kimetokea, na brother JJ was very humble and receptive Na matokeo ya mazungumzo yetu nimemuomba nihudhurie set ya @ghettopodcasttz , amenyoosha na siku moja nitamjoin set na nina hakika nitajifunza mambo mengi zaidi Thanks brothers kwa kuniyoshea TAKE. Sehemu ambayo unahisi sio sehemu yako au unahisi woga kwenda ndo sehemu unayopaswa kwenda na ndio funguo ya kukufungua kwenye minyororo ya kujifungia ndani Binafsi Leo nimefanikiwa kufungua mnyororo ambao ulikuwa nizuia nisi show up DAM DAM yangu ya kwanza kushiriki imenikutanisha na watu wengi wapya zaidi ya nilio Network nao for the whole past year, Kama nilivyo ahidi nitaendelea kwenda kokote penye connection na maarifa, Maeneo uncomfortable kwangu ndo maeneo ambayo yametengenezwa kwajili yangu so, lazima niyatumie vizuri kukua kimaarifa na kijamii "One moment can change a day,one day can change a life, One life can change a world - Buddha Dam Dam Marathon was that One Moment for me
46 17
3 months ago
January 8 nilianza ku document maisha yangu ya kila siku • Kila detail bila kuacha kitu Kiukweli ni kitu ambacho kimenifanya nigundue na kujifunza vitu vingi sana ambavyo vilikuwa vinaendelea kwenye maisha yangu ambavyo vingine vilikuwa vina cost future ya yangu bila hata mimi mwenyewe kujua. Kupitia journaling:- Nimegundua nina muda mwingi sana (24 hrs is a lot kwa kweli), Lakini kwa bahati mbaya sikuwa nautumia vizuri,baada ya kuanza ku journal nimegundua kuwa ni muda ambao kama nikiutumia inavyopaswa ninaweza kufanya chochote, Tena bila presha Masaa 24 niliyonayo sasa ni the same na niliyokuwa nao mwanzo lakini kwasababu matumizi yake kwa sasa yako controlled & tracked kila sekunde kwenye maisha yangu ina matter Siku zote bila kujua muda wako unatumika kwenye nini exactly inakuwa ngumu ku control au ku track, lakini baada ya kuanza ku journal nimejua exactly muda wangu mwingi ulikuwa unapotelea wapi na kuanzia hapo nikaanza kufanya time allocationa na improvement to make sure every ticking second inaongeza kitu kwenye maisha yangu Mfano, niligundua muda wangu mwingi ninautumia social media ku doomscroll kwenye vitu ambavyo havikuwa na msingi so nikafix kuanzia hapo kutoka kutumia zaidi ya masaa 6 social media mpaka kuwa na limit ya Max Saa moja kwa siku na ku allocate muda mwingine kwenye vitu vya muhimu zaidi kama kusikiliza podcast, Kufanya research,Kuandaa contents,Kufanya reflections nk Lakini pia kuna vitu nilikuwa nafanya bila kufikiria athari ambazo zitatokea kwenye maisha yangu in a long run,nilikuwa nachukulia mambo poa lakini Baada ya kuanza kutrack kila kitu ninachokifanya kwenye siku kina matter, coz najua kuna sehemu tu either kitanipa advantage au kunipa disadvantage So journaling imenifanya niwe na control kamili maisha yangu, inanilazimisha kuwa makini ku prioritize vitu na ku virtualize aftermath ya vitu hata kabla sijavifanya ili kuepuka kufanya makosa mengi ambayo yanaweza kunicost mbeleni So with just Journaling I regain full control of my life Bila shaka hata wewe unatamani kuwa na control kamili ya maisha yako, Anza kujournal sasa, Utajifunza vitu vingi zaidi kupitia safari hiyo #LearnToEarn #LearnConnectExecute
62 9
3 months ago
• 600+ Min's of brain feeding •1,800 Mins of Reflection (Journaling) Next Post Kwenye macho yako inaweza kuonekana ni archivement kidogo,lakini kwangu naona ukubwa wa namna ambavyo nimefanikiwa kushift mindset yangu Kwangu hilo lina matter zaidi. Progress ninayo Iona ni matokeo kuamua kuchukua hatua za makusudi kabisa, ndio maana sijali sana kuhusu perfect ninachokizingatia zaidi ni progress Nmekuwa niki plan na ku strategize vitu for more than 3 years lakini sikuwahi kumove an inch,lakini kwa actions za mwezi mmoja tu naanza kuona progress That's a huge WIN to me James clear anasema "We don't rise at the level of the goal, We fall at the level of the system" I had goals, I didn't have system to archive them, and that changed this month, this year ambapo nilia amua kuchukua hatua, and here we are naanza kushare progress zangu kama ambavyo nili ahidi kwenye post zilizopita #JanuaryLearnRecap In January nimetumia dakika 740 + sawa na masaa 12 kuangalia podcasts, na kusoma kitabu cha #AtomicHabit by James clear Licha ya ubize wa njaanuary, nimefanikiwa ku archive hayo,sio kikubwa sana lakini it means a lot to me, kwasababu I know how hard it was, lakini Bado sijaridhika, I demand more from myself Na ili ku improve zaidi, ninaji challenge ku triple what I have archived in January,this month I will do even better Lengo kubwa ni kujifunza na ku improve kwa kufanya ndio Sababu nina share slides hapa ili hata wewe ambae unanifuatilie uweze kujifunza kitu Ninaendelea kiyasaka maarifa kadri nitakavyo weza, pa kuweka muda nitaweka, pakuweka pesa nitaweka, pa kuuliza nitauliza, pa kuomba guidance nitaomba, I have nothing to lose, I have much to gain My next pick from my booklist is "The Power of Your subconscious Mind" By Joseph Murphy Hiki kitabu nina story nacho, ninakisoma huku nikiwa guilty, siku moja nita simulia hiyo story, kuna kitu utajifunza kama ambavyo mimi nimejifunza tena the hardway Ninaendelea kujifunza, Kufanya na ku Improve Bila shaka hata wewe January yako haikupotea hivi hivi, unaweza kushare kwenye comment vitu gani umeviarchive ili na sisi tujifunze Endelea kuwa karibu na @learnwithsako tujifunze zaidi #LearnConnectExecute
32 4
3 months ago
Thank you 🙏🏿🙏🏿 @imani.luvanga
7 0
3 months ago
Ijumaa tarehe 30, Jan, 2026, nilihudhuria jukwaa la @soshonamimi linaloratibiwa na big sis @shadeeweriss pale UDSM Nilijifunza mengi sana kutoka kwa panelists wote @leo_.mendez15 ,@mikachavala , @imani.luvanga @_gxddess @raisi_wa_first_year , @rosemanfere @ms.akonaay @tommnkondya @deekam_beauty_Clinic Shukran za dhatii kwako @shadeeweriss kwa fursa ya kuendelea kutoa Maarifa vijana hasa kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kupitia platform ya @soshonamimi Event ilijaa madini mengi na nimejifunza mengi sana Nafurahi sana kumaliza a Mwezi January kwa kihudhuria event ya jukwa la @Soshonamimi "extra Minds" na kujifunza kutoka @soshonamimi LAST SLIDE @learnwithsako @Iman.Luvanga #SoshoNaMimi Extra Minded Key Take aways: 1. You have to start to see clarity 2. Show up every day 3. Lower your expectations (Expect Rejections ) 4. Networking is the key 5. Focus on a single identity (don't confuse your audience) 6. Social media opportunities are there,it depends on how you Use your phone ------------------------ Bila shaka Kuna ambao wamemaliza mwezi January wakiwa wamalisha ubongo wao maarifa mengi zaidi, niambie kwenye comment, mwezi January umejifunza vitu gani? #LearnConnectExecute
31 13
3 months ago
Cont..... Kuwa na maarifa ni swala moja ,kuyageuza maarifa kuwa thamani (Pesa, Status) ni swala lingine Ni swala ambalo linahitaji zaidi ya Maarifa na ujuzi ulio nao, ni swala ambalo linakutaka uache kuwa mwamba kwenye maarifa au ujuzi ulio nao na kukulazimisha kuwa MTU Nikiwa na maana kwamba maarifa ni trait yako ya kikazi lakini kuwa mtu ni trait yako ya kimahusiano na hapo ndipo Siri ya mchezo ilipo, Kuwa na maarifa topnotch haimanishi umemaliza kwamba utapata pesa au status tu kirahisi linakuhitaji uwe na Mahusiano imara na watu Hapa namaanisha Marafiki, colleagues, Mentors , Gatekeepers n.k Kupitia mahusiano na watu ndipo fursa zinazaliwa, fursa za kuongeza maarifa (kujifunza kutoka kwa mentors na ma Seniors waliopita njia unayopita kwa mafanikio) au fursa ya kuonyesha uwezo na maarifa yako Hii ni piece puzzle ambayo haiwezi kuepukika, ni piece inakamilisha sehemu kubwa ya safari yako ya kupambania kombe Maarifa Na fursa zinapatikana kwa watu Ukiwa tayari na maarifa, ukipata connections za marafiki, ma Seniors na gatekeepers ambao wametangulia kabla yako utapata fursa ya kujifunza zaidi na fursa ya kuonyesha uwezo wako , kinachobaki ni kitu kimoja tu KUFANYIA KAZI MAARIFA NA UJUZI WAKO Post inayofuata nitaeleza experience yangu kwenye hili 👆🏿, na hapo framework #LearnConnectExecute itakuwa imekamilika, kitakachobaki ni kuanza kujifunza pamoja, ku connect pamoja na kuanza kufanya kwa pamoja SPECIAL APPRECIATION: Nitaandaa content specific kwa kila mtu ambae nimepata bahati ya kujifunza kitu kutoka kwake lakini hapa nitoe shukran zangu kwao japo kwa uchache @soudybrown @mikeatilio @hanscana_ @fole_x @marcel__kitabu @remmymbowa_ @amrisaly @mikedastan @praf.paparaz @chichi_martin_ @baraka_photography Shukrani sana brothers Kupitia nyie nimeweza kuiona Dunia kwa jicho la tofauti sana, na kupitia nyie nimmejifunza vitu vingi kutoka kwenu Nashukuru sana sana brother Kama ambavyo kila siku ni Darasa jipya la kujifunza, ninaendelea kujifunza kutoka kwao lakini this time sitaishia tu kujifunza nitaenda hatua extra mbele KUFANYA See you on the next Post #Execution #WatchMe #LearnConnectExecute
29 13
3 months ago
Siku hizi veti na GPA , nii verification criteria tu, kinacho matter zaidi ni skills set na competency ambazo mtu anakuwa nao kwenye ango flani Na skills sio lazima ziwe hard skills zinaweza kuwa hata soft skills, skills ni ujuzi wowote ambao unaweza kukufanya kuwatofauti na wengine kwenye kushindani wa soko na hizi skills zinaweza kuwa kwenye level mbili kwenye personal na career level Kwenye personal level skills kama communication, and relationship skiils, critical thinking, Creativity nk vinakufanya unakuwa na personality bora zaidi ukilinganisha na wale ambao hawana hizo skiils In career level, skills practical zinaweza kukifanya kuwa na upper hand, unakuwa na value ambayo hakuna boss yoyote anaweza kuignore, ukiwa competent kwenye skills kama sales, client relation, branding, Management skills na creative skills zingine kama media, social media, digital marketing, unakuwa valuable in a way boss haku treat kama mfanya kazi anakuwa ku treat kama sehemu muhimu ya biashara yake Mara nyingi tunadharaulika makazini kwasababu ya kukosa potential and unique skills, matajiri wanatuona wa kawaida kwasababu tunaweza kuwa replaced kirahisi, ukiwa na skills na competency unakuwa irreplaceable, Ukiwa na skilled na competent unakuwa untouchable , unakuwa yule mwamba ambae asipokuwepo kazini operation zote za ofisi zinafeli Zaidi ukiwa competent kwenye skill yoyote utakuwa unafanya kazi zako in most simple way, kwasababu unakwua unafanya repetition ya vitu ambavyo umekuwa ukifanya for so long to the extent utakuwa in automation mode Next Post nitaeleza kuhusu NETWORK kwenye mafaniki #LearnToThrive Cc @LearnWithSako Learn something?
154 4
3 months ago