PR'o Remmy Mbowa

@remmymbowa_

Student of Power, Politics & People, The True son of United Rebublic of Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Strategic Thinker Clouds Media, MARRIED โค๏ธ
Followers
16.9k
Following
2,480
Account Insight
Score
36.67%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
7:1
Weeks posts
Leo Familia Yetu tumejumuika Pamoja Kumpongeza Mke wangu Kipenzi kwa Kuhitimu Shahada yake ya kwanza Ya Benki na Fedha (Banking and Finance). Tunamshukuru Pia Mlezi wetu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Emmauel John Alfonso Nchimbi kwa kujumuika nasi. Mungu ni mwema sana ๐Ÿ™
1,419 121
1 year ago
Nimefika Ikulu Ya Zanzibar Mnazi Mmoja na kukaribishwa na Katibu Mkuu kiongozi wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa Baraza La Mapinduzi Eng. Zena Ahmed Said. Kazi na Utu Tunasonga Mbele ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
400 37
1 year ago
Chama cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Wagombea 5 kuingia kwenye kinyangโ€™anyiro cha mwisho cha kupitisha Jina moja la Mgombea Ubunge Jimbo la Nanyamba Katika majina hayo matano lipo la Remigius Swaleh Mbowa [ @remmymbowa_ ] ambaye ni Afisa Ubunifu na Mikakati kutoka idara ya Mikakati na Ubunifu Clouds Media Orodha hiyo imesomwa leo Julai 29,2025 na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla
2,144 87
9 months ago
Kheri ya siku ya kuzaliwa Mke wangu, Namshukuru Mola kwa zawadi ya Maisha Yako, kukua pamoja nawe ni Neema ya Mwenyezi Mungu. Nathamini kila mchango wako kwangu binafsi na kwa Familia yetu changa. Maisha marefu, Afya Njema, Uchumi Imara, Fanaka Bwelele nakuombea.. Nakupenda Sana โค๏ธ
257 33
2 days ago
Ila mashabiki wa yanga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ @remmymbowa_ ENGO
175 19
3 days ago
Watu wana pona๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila @remmymbowa_ ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ๐Ÿ˜‚
108 17
4 days ago
Mm nimtu wa kusini sisi wamakonde tuna nongwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿผ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ @remmymbowa_ bahna๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. ENGO
89 16
4 days ago
Kama hujawahi kua na changamoto na mwenye nyumba kuhusu kodi wewe sio mpambananji @remmymbowa_ kwenye ENGO
94 30
5 days ago
Nikija kua kiongozi nitaishawishi serikali iongeze mkopo kwa wana chuo ENGO ya @remmymbowa_
68 14
5 days ago
Endelea kupumzika kwa Amani Baba ๐Ÿ™
72 16
6 days ago
Chuoni kuna njaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚@remmymbowa_ kwenye ENGO
81 23
6 days ago
Anahuzunika ila atafanya nini? Hii sio njia ambayo alitaka wewe upite! Japo hajaacha kuifuata kila hatua yako kwa nyuma, tangu alipofeli kukuzuia.. Amevua Uamiri Jeshi mkuu,amechagua kubaki kuwa mama, akiamini hivi sasa upo kwenye shule ambayo mkufunzi wake ni Ulimwengu.. Kwangu jina โ€˜Mamaโ€™ ni cheatcode ya kuinuka tena baada kuanguka.. Mungu nikumbushe kuhusu Mama yangu kwenye kila vita ninayokaribia kufeli.. Mjinga anaepinga umuhimu wa Akina Mama duniani hana tofauti na mjinga anaepinga kifo akiwa amesimama juu ya kaburi๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
40 9
7 days ago