Namshukuru Mungu kwa miaka 10 ya Gospel To The Nations TZ online platform ππ½
Hakika tumeyaona matunda ya kumtumikia Mungu, na ushuhuda wake ni mkubwa sana katika safari hii.
Jina la Yesu litukuzwe, kwa kuwa limetupa hatua kubwa, na tunaamini linaendelea kutupeleka katika hatua nyingine zilizo kuu zaidi ππ½π₯
Endelea kufuatilia @gospeltothenationstz na @gospelnationstv
Kwa habari, mafundisho, na ujumbe wa NENO LA MUNGU πβ¨
SHUKRANI ZA DHATI kwa @tanzania_excellence_gospel_awards pamoja na wote waliotupigia kura na kutuunga mkono β Mungu awabariki sana ππ½π₯
BEST ONLINE GOSPEL SHARING PLATFORM OF YEAR 2026 πππΉπΏπ₯
#GospelToTheNationsTZ #Miaka10YaNeema #NenoLaMungu #Shukrani
Kwa neema ya Mungu, usiku wa jana tumepokea ushindi mkubwa! ππ₯
Page ya Gospel To The Nations TZ imefanikiwa kushinda tuzo ya BEST ONLINE GOSPEL MEDIA OF THE YEAR 2026 kutoka kwa Tanzania Excellence Gospel Awards.
Hakika tunamshukuru Mungu kwa hatua hii kubwa, na tunawashukuru sana ninyi wote mnaoendelea kusupport huduma hii na kubarikiwa kupitia content zetu. Ushindi huu si wetu peke yetu β ni ushindi wetu sote! π
Asanteni sana kwa kila mmoja aliyepiga kura, kushare, na kusimama nasi katika kazi hii ya kueneza Injili. Mungu awabariki sana na asiwapungukie katika kila jambo jema.
Endeleeni kuwa nasi β makubwa zaidi yanakuja! πβ¨
@gospeltothenationstz@gospelnationstv@letsprayglobal_
#globalgospelimpact #gospeltothenations #eastafrica
β First Brethren Intimacy meeting with God β
Am humble and such a honor to Host people of God for the Greatness and good things in a kingdom of God
#2026wegowithobidience and we make him more Fame
The new generation with Updation
Thank you mom @fortuefortue (Author mental health advocate and prophetess ) for standing with me in a prayers and your time βΊοΈ chapati π« was ππΎ
Thank you friend @ablenty_sadock
Gospel Presnter and MC.
Thanks to everyone
Director Elly @adomu_visuals
Music director: @_shucxy_tz_
Social media manager : @cuthbert_muro@gospeltothenationstz
Actor & author: @princegeorgeink
Male worshiper: @imaniericshoo
Female worshiper: @officialjanethnehemia
Gospel artist & business man @bayo_altar@bayo_meathub
Gospel singer & Vocal coach @emmah_praise
Business Man & gospel spreader @bleiz_nchia@prettygirlprays
#millylomey #sisofmanyπ¦ #2026brethrenmeeting