HOW DO WE APPROACH KINGDOM MARRIAGE
LETS ALL DISCUSS THIS, COMMENT YAKO INAWEZA KUA SOMO KWA MWINGINE
cc @ericjoh_@letstalkshowtz
SAVE THE DATE 7TH JUNE
For Clarity✍️
“Sio kwamba Mahusiano sikua nayo lakini
hayakuwahi kuwa sahihi, sio kwamba nilikua sionekani Lakini Mungu alisema Hapana kwa kipindi chote hicho, wakati wenzangu walipomaliza wakaanzisha familia mimi nilingoja 5yrs, until the Right man Came at the Right time na huyo ndiyo alikua Boyfriend sahihi then mchumba then straight tukaenda Kanisani f....! Binti ulieko kwenye waiting season yako yawezekana Mungu atamleta wako baada ya muda Flani usiache kusubiri kwa Bwana, Lakini wakati unasubiri mbaraka wa Bwana Join his work Mtendee Kazi zake ili wakati ukifika umkumbushe.”
@loveness_brainwave@letstalkshowtz
SAVE THE DATE 07/06/2026🙏
PSSSF👊🏿