“Moyo wangu sifa, mpe Bwana na vyote ndani yangu...” 🎶
Umeishautazama wimbo huu mpya?
Kama bado, kimbia sasa YouTube kutazama "MOYO WANGU".
Hebu sifa za BWANA zitawale ndani yako leo! 🙌🏽
Barikiwa unapotazama! 🕊️
(Link kwenye bio 🔗)
.
.
#Bwanaamenifanyianafasi #moyowangu #gospelmusic #liverecording
The waiting is Over #COMPENSATE
KARIBU UBARIKIWE NA WIMBO HUU
UNAPATIKANA KWENYE DIGITAL PLATFORMS ZOTE #COMPENSATE #MFELLO
Director @samvistar
Producer @classicmadeittz
Outfit @kiiza_pamba_kaliii
Tunampa Mungu sifa na kumruhusu atawale mioyo yetu kwa sauti na muziki wa wimbo huu. ❤ 🙌🏽
Ni wimbo wa 'moyo wangu' ambao utakuwa hewani siku ya Jumatano, saa nne kamili asubuhi. Video kamili itapatikana YouTube (link kwenye bio) usisahau kufuatilia (follow) akaunti yetu. 💥💫
.
.
#BwanaAmenifanyiaNafasi #liverecording