Lanchi ya Usiku....
Vipapatio Vya Kuku...
Asante Mpiga Picha @intertinny na Asante Mchawi wa Picha,HUAWEI P8...Hivi ndio Simu yako inapaswa ikutoe Usiku ingawa najua yako ukipiga unatokea Sura kama Umekatwa Kura za Maoni
@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz
Uchawi Namba 4 wa P8 ninaoupenda!
ONGEZA UDAMBWIDAMBWI PICHANI.
Kuna Picha flani huwa unazipendaaaaaaaa sanaaa LAKINI kwa bahati mbaya Background zake sio nzuri,aidha kuna watu walitokea nyuma ya hiyo Picha,Au Ukuta mliopigia ulikuwa Mchafu..Basi unaweza kufanya UCHAWI unaitwa LIGHT PAINTING na ukaibadili hiyo Picha kabisaaa na kuondoa Mandhari zote usizozitaka na kuweka zako MPYAAA ulizozichora UPYAA kwa Simu hii...Unataka nini tena???
Wapenda Uchawi wa Simu weyee?
Basi hakunaga kama HUAWEI P8.Ukitaka Kuinjoi kama mimi ninavyoinjoi just FOLLOW THEM....
@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz
Kemea Mapepo ya kumiliki Simu Sumbufu...
BADO SIKU 1 TU SASA....
Je bado Unamiliki Simu aina ya FRIJI???Simu inakaa kwenye Charge muda mrefu kama Friji...
KESHO MWISHO!!
Je bado ukienda kumtembelea rafiki yako na ukifika anakuuliza,"Can I offer you TEA,COFFEE,JUICE??"
Usinipe chochote naomba CHARGER niboost kimeo changu...
KESHO MWISHO!!
Ukinunua SMARTPHONE hakikisha kweli It is SMART sio hizi simu taahira zinasumbua hadi unajikuta Umekuwa Fundi Simu bila kupenda....
HUAWEI P8 #IgniteP8 #IgniteP8TZ
Usiseme Sikukwambia...KAA TAYARI
@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz@huaweitz