Yajayo yanafurahisha!
Tanzania Deejays Community! 🇹🇿🎧
Tumepokea cheti cha usajili rasmi kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) hatua kubwa inayofungua ukurasa mpya wa umoja, maendeleo na utambuzi wa Ma-DJ nchini rasmi.
Tunatoa shukrani za dhati kwa Kaimu katibu mtendaji Edward Buganga wa Basata pamoja na timu nzima ya Baraza la Sanaa kwa mapokezi mazuri, ushirikiano wa hali ya juu na mipango endelevu. Tumeahidi kuwa mabalozi wazuri kwa kulinda maadili, kuendelea kukuza ajira katika tasnia hii ya Muziki/Djing.
Safari inaanza rasmi kitaifa, kimkoa hadi wilaya @basata.tanzania
#TanzaniaDeejaysCommunity #Basata #TanzaniaDeejays #MusicLife #ManjuMuziki
Experience one of the top Old School R&B nights at Serena Hotel, Dar! Mark your calendar for Sat, 30th May🥂
Music by Peter Moe feat Grooveback and Guest DJ keep the R&B groove alive.
Tickets price: 180,000 TZS, including food and a welcome drink on arrival.
🗓️ Date: Saturday, 30th May
📍 Location: Serena Hotel - Dar es Salaam
🕔 Time: 5PM – Midnight
Tickets available on OTAPP or at the Serena Hotel Reception
For more details, Call +255 699 796 900
#SerenaOldSchoolRnB #SerenaHotel #CastleliteTz #MarengoWines #Grooveback
Join us for the Sky Swing this Sat, 2nd May at Red Square (formerly Amsterdam)Mbezi Beach📍Music by @petermoe1@grooveback.music
Tell a friend and feel the rhythm close to your zone🎶
#SkySwing #GroovebackDJs #RedSquareMbezi #PeterMoe
Excited to enjoy the long weekend! Join us for Easter Sensation this Monday 6th April! at Red Square (formerly Amsterdam) Mbezi beach📍Soundtrack by @petermoe1@grooveback.music
Tell a friend and the good vibes flowing 🥂
#EasterMonday #GroovebackDJs #RedSquareMbezi #PositiveVibes
Viongozi wa Tanzania Deejays community @djsma255@djnicotrack@djbulla.255 wakiongozwa mwenyekiti wao Dj @petermoe1 wamekutana na kufanya kikao cha kimkakati na wataalamu wa @basata.tanzania Abel Ndaga na Lulu Mfuruki @_lulu_rivaston_ juu ya namna bora ya usimamizi na uendeshaji wa shughuli za Manju muziki kwa ustawi wa sekta ya Sanaa nchini, kikao kimefanyika leo tarehe 25 Machi, 2026 katika ofisi za BASATA kivukoni jijini Dar es salaam.
#basata #sanaaniajirabiasharanauchumi #sanaa
Pure old school Music lovers, exciting news🤩 If you're in Moshi this weekend! Catch us on Sunday 22nd March at Kili Home Garden's @grooveback.music We're coming to bring the Groove🎶
Celebrate EASTER Sensation party with us on Sunday, 5th April at BellaVista/Bahari beach! Enjoy lively early vibes and get into the groove close to your zone📍
with @petermoe1@grooveaback.music
Residents nearby! Bring your squad! Don't miss this out!
⌚️ 5pm - Midnight
🗓️Sunday 5th April
💳 No cover Charge
📍Bellavista/Bahari Beach
#Grooveback #BellaVistaBahari #PeterMoe #GroovebackDeejays #EasterSensation DarEarlyVibes