Ukiwa Dar es Salaam kwa biashara, mapumziko au kutalii, karibu PEACOCK Hotel. Sehemu ya kipekee yenye ukarimu na hadhi iliyopo mjini jirani na City centre, jirani na Kariakoo, jirani na Airport, jirani na uwanja wa Taifa, jirani na viwanja vya starehe Masaki na Oyster bay. Hakika utapenda zaidi ROOM zake.
Ukizungumzia ukarimu wa Tanzania wenye hadhi ya kimataifa ni PEACOCK Hotel.
@peacock_hotel_official@peacock_hotel_official@peacock_hotel_official
Bibi Titi Mohamed Street, Dar es Salaam
Email : reservation@peacock -hotel
Call : 0713559627
Timu ya @maua_ya_mama imepokea baraka kutoka Butiama, na kuanza safari ya kuendesha baiskeli kuelekea Dodoma kumpelekea Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Maua Yake Kama sehemu ya upendo wetu kwake kwa kazi nzuri ya kutuongoza wananchi wake, Watanzania wote mpendwa wetu ni Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Tukutane Dodoma kumpa Mama Maua Yake 🌺#MauaYaMama #Samia #Tanzania
@captaintanzania anatupitisha kutuonyeshea namna mbudya ambavyo inaonekana kwa sasa hii yote ni kuelekea kwenye Party la Dear Bimkubwa kesho kuanzia saa mbili asubuhi.
Kumbuka ukilipa kiingilio cha elfu 20,000 kwa mwanafunzi na 22,000 kwa mkubwa basi utakuwa na uhakika wa kufika mbudya kwa kupanda boti ambazo zitakuwepo pale The Waves, mbezi beach.
Jumamosi iko-verified na birthday ya Mama.