Home eliastzaPosts

HEISELIAS

@eliastza

🎯Radio Producer @cloudsfmtz @drippingstore_tz
Followers
49.4k
Following
3,750
Account Insight
Score
40.9%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
13:1
Weeks posts
172 29
4 months ago
465 38
1 year ago
🙏🏽🙏🏽
458 38
2 years ago
Life goes on !!!!
0 14
1 day ago
Song Tafsiri from @dicazzi link kwenye bio yake go support him 🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻
0 12
2 days ago
Wewe ni kijana? Basi @spencer_minja ana ujumbe wako leo kwenye #DoubleXL usikose🔥 Live kutokea Lushoto Tanga @brightafricans #AminiUnaweza
4,630 57
3 days ago
#DoubleXL na mambo ya kujiamulia, leo show itasikila live kutokea Milimani Lushoto Tanga🔥 @kenedytheremedy @soudybrown @johnjakson_tz
1,221 48
3 days ago
Baada ya kukaa ndani kwa muda mrefu team #DoubleXL wamejiamulia kwenda vacation Lushoto Tanga, kuanzia sasa tegemea maudhui kutokea Tanga🔥 #DoubleXL
410 23
3 days ago
Baada ya jana team XXL kuzungumzia kipande kilichopo kwenye Filamu ya wasifu(Biopic) ya Michael Jackson ambacho hifadhi ya taifa Serengeti ilitajwa na kusifiwa, Leo Katibu mkuu wa wizara ya maliasili na utalii @dktabbasi kwanza ameishukuru team XXL kwa kuwapa habari hiyo njema lakini pia amesema wameshaanza mazungumzo na Jafar jackson(ambaye aliigiza kama michael jackson) pamoja na producer wa Filamu hiyo kuwakaribisha katika hifadhi ya taifa Serengeti, msikilize akifunguka zaidi leo kwe XXL.
1,251 51
4 days ago
Hyper man @iddy_muller ametoa exclusive ndani ya #DoubleXL kuhusu ku-host tamasha ambalo litaandaliwa Las Vegas Marekani. Ametoa shukrani zake pia kwa @snipermantana kwa kumfungulia Dunia.
10.6k 165
4 days ago
Ukali wa Mzee wa Michael Jackson umekufundisha nini? MJ experience na producer wa #DoubleXL @eliastza
164 6
8 days ago
Mashabiki wa soka na muziki duniani wameanza countdown rasmi baada ya taarifa kuthibitisha kuwa superstar wa kimataifa Shakira ameungana na staa wa Afrobeats Burna Boy kwenye anthem mpya ya FIFA World Cup 2026 inayojulikana kama “Dai Dai.” #Whatspoppin
3,283 52
9 days ago