Wajuu ataona namba 6, Wachini ataona 9
Pembeni ataona herufi G…
Wajuu akiona namba 2, Pembeni herufi N
Wachini ataona herufi Z…
13 ni B
Lugha hutofautiana 5 ya kirumi ni V
Wasomi hutuaminisha education ndo Key
Wasiosoma hutuaminisha hustle na bidii
#TAFSIRI is Out 🔥
@officialshilole amekoshwa na lines alizopita nazo @dicazzi kwenye project yake mpya ya 'Nature' na kukiri kuwa aina hiyo ya uimbaji ni moja kati ya vitu vinavyo kosekana kwenye rap game ya Tanzania! Umeisikiliza Nature!? • #XXLyaCloudsFM
Ishu ni Umesimama kwenye Angle gani🔥 #TAFSIRI
HASHEEM THABEET HUMUONA JOTI MWALA..!!!
ANKO NZALA HUMUONA JOTI GIANT…!!!
#TAFSIRI Gusa Link kwenye bio 👆
Kati ya Talents ambazo binafsi najivunia nazo ni pamoja na @dicazzi mzee wa maajabu, najua kuna watu watakuja kwenye comments ku diss mlikua wapi kitambo kumsapoti 😂 (sio makosa yenu)
Kwa Mara ya kwanza nimemjua Dicazz nilimjua kama Footballer tena mkali kabisa( years back tukiwa chuo pale UOI university of Iringa) huwezi Amini hakuna aliyewahi kujua kama Dicazzi anafanya muziki kwasababu hakuwahi kuonesha dalili hata kidogo na badala Yake wengi tuliamini siku moja mwanetu atafanikiwa kupitia mpira wa miguu na wakati huo usijisahaulishe kama mwanetu ni mwanasheria aliyesoma (MWANASHERIA MSOMI 😃)
Baada ya kumaliza chuo tukaingia uraiani kupambania ndoto zetu wote tukiwa tunakaa Kimara mm nikafanikiwa kupata mchongo Radio za Dar na hapo ndio ukawa mwanzo wa mimi kujua kama mwanangu ana Talent kubwa ya kuchana na Kuimba baada ya miaka mingi kupita 😂 so kuanzia hapo nikaanza kumsapoti mwanangu bila kusahau wana kama Producer Elishaa na Bob Cat hawa ni Ma Day Ones ambao hawajawah kuacha kupambania Talent ya Dicazz na naamini wanamchango mkubwa sana hadi leo hii tumempata DICAZZI WA TAFSIRI 🔥🙌
Kwa namna ninavyoujua uwezo wa Dicazzi naamini kuna makubwa mengi sana atayafanya kwenye kiwanda chetu cha Rap Game Tanzania, naombeni wa Tanzania tumkunjulie mwanetu AONDOKEEE!!
WAPO WANAOSEMA DUNIA NI DUARA KWA JUU 🌍…
MACHO YETU YANAONA DUNIA TAMBARARE KWA VIEW 👀…
UNACHOSIKIA AMA UNACHOKIONA WHAT’S TRUE…???
#TAFSIRI link kwa bio yangu @dicazzi
Alichokiona @dicazzi kuhusu mapokezi ya wimbo wake wa Tafsiri.
Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
@dicazzi anaamini huu ni wakati sahihi kwa wasanii kutengeneza mifumo ya kupata pesa kutokana na kazi zao za sanaa.
Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
VINA MEZANI ya Leo inabebwa na @dicazzi ambaye atakuja kuonyesha uwezo wake wa kunata na beat na kutuletea zawadi ya wimbo wake mpya TAFSIRI, You don’t wanna miss this 📌