Abdallah | MC | Ambua

@dullahplanet

A media personality @crownfmtz @crowntvtz Dar es salaam, Tanzania Husband of @chymina
Followers
1.1m
Following
262
Account Insight
Score
73.47%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
4572:1
Weeks posts
Leo nilipata ugeni mzito eneo langu la kazi, binti zangu wakishuhudia inapotoka ADA na mahitaji muhimu😂
18.4k 488
1 month ago
Mara ya kwanza kukuona MAY 2009 baada ya Miaka miwili ukawa Mke Wangu halal, Mwaka 2012 July tukabahatika kupata mtoto wa kiume kwa bahati mbaya haikuwa rizki yetu, alifariki siku ya pili tu baada ya kuzaliwa🙏🏼 Tulimshukuru ALLAH na baada ya mwaka mmoja akatupa neema ya mtoto wa kike TAMMY baada ya miaka 3 tukaongezewa neema ya PACHA TAMREEN & TAMREENA❤️ Lakini neema kubwa kuliko zote nikuwa wote mpaka leo hii Alhamdullah🙏🏼 namuomba ALLAH atuhifadhi TUZIKANE @chymina
10.3k 218
3 months ago
Mwanamke wa Kwanza aliyefanya nikaitwa BABA Mwanamke wa kwanza aliyenizawadia MAPACHA Mwanamke wa kwanza kuwa MAMA wa Watoto wangu❤️ Happy Mother’s Day Mchuchu🙏🏽 Namsubiri Baby Boy Inn Shaa Allah🙏🏽
24.9k 202
1 year ago
Mtaa Unatafsiri Upendo, Dua zina tafsiri Amani na Mafanikio…. Song : TAFSIRI Artist : @dicazzi #MtaaniKwetu
3,263 94
4 days ago
Mapema asubuhi ya leo nikifungua shughuli ya uzinduzi wa duka jipya la @yastanzania_ pale Kunduchi Mall Hizi ndio mambo nizipendazo kuhutubia Raia😂 ALHAMDULILLAH (Hasbunallahu wa ni’mal wakeel)
315 24
5 days ago
Nipo hapa Kunduchi Mall kuendesha shughuli ya uzinduzi wa duka la MTANDAO WA VIWANGO @yastanzania_ Imesogezwa huduma karibu zaidi kwa mkazi wa Kunduchi, Salasala, Tegeta na maeneo yote ya karibu KARIBU!!
412 8
5 days ago
Mwanetu alikuwa anaenda kama chawa Smart yaani akili nyingi kwenye kuzitumia fursa bila kushusha hadhi yake, mtu wa mipango Hiyo ikamlipa akawa Rais wa taifa lenye mafuta mengi zaidi 17% ya mafuta yote duniani, mafuta yaliyopo Venezuela yanaweza kuhudumia dunia nzima kwa miaka 8 Ukipata time pita pale Youtube IKUMBUKWE kuitazama simulizi hii, usisahau pia ku SUBSCRIBE ili simuzili zijazo zisikupite🙏🏼 #IKUMBUKWE
574 11
6 days ago
Usiku wa manane wakati sisi tumeuchapa usingizi Marekani wao walikuwa na jambo lao Nimekuweka link kwenye bio kufuatilia simulizi hii ya Rais wa Venezuela Nicolaus Maduro kutoka kuwa dereva wa basi mpaka ikulu mpaka gerezani #IKUMBUKWE
608 24
7 days ago
Jinsi Marekani Ilivyomkamata Nicolás Maduro nimekuwekea simulizi hii Pale youtube IKUMBUKWE Hii ni hadithi ya Nicolás Maduro, Venezuela, na operesheni ya siri ya Marekani iliyoitwa Operation Absolute Resolve. Usisahau ku subscribe ili kuwa mwanafamilia wa IKUMBUKWE IKUMBUKWE — mahali ambapo historia haisahauliki. #IKUMBUKWE
362 12
7 days ago
KIKUBWA FURAHA🦁 Wameshapigwa mbili huko😂
1,253 45
13 days ago
Pale Youtube IKUMBUKWE nimekuweka taarifa hii ya kusikitisha kuhusu mauaji ya kijana Ogidi Mena mwenye umri wa miaka 28 lililotokea tarehe 26 april katika jimbo la Delta, Nigeria Inaelezwa kuwa Mena alifika katika kituo kikuu cha usafirishaji Effurun kufata mzigo uliotumwa na baada ya kutakiwa kuufungua ikabainika kuwa mzigo huo ulikuwa ni wa bastola aina ya Beretta yenye risasi nne, alipotakiwa kutoa maelezo kuhusu mzigo huo jibu likawa yeye ametumwa tu kuufata na sio mzigo wake, baada ya jibu hilo mambo ikawa mbaya #IKUMBUKWE
2,144 84
15 days ago
Huna uzoefu hupati kazi, huna kazi hupati uzoefu.. Moja ya kizuizu cha ajira wanacho kutana nacho vijana wengi Karibu kuitazama simulizi hii pale IKUMBUKWE YOUTUBE #IKUMBUKWE
117 3
16 days ago