Mpende sana mama yako… ❤️
Hakika radhi yake ni njia ya baraka zako.
Pepo ipo chini ya nyayo zake,
na ukimheshimu kwa dhati, maisha yako yatafunguka kwa namna usiyotegemea.
Na kama ameshatangulia mbele ya haki,
usimuache… muombee dua, mfanyie mema kwa niaba yake 🤲
Kumbuka hili:
Huwezi kujenga ndoa yenye amani na baraka,
kama hukujifunza kuthamini chanzo chako — mama yako.
Mpende akiwa hai,
na akiondoka… endelea kumpenda kwa dua. ✨
#Mama #Heshima #Baraka #Maisha #Ndoa
Karibu Paradise Salon and Spa – sehemu namba moja ya urembo! 💇‍♀️💅
Huduma zote za kisasa zinapatikana kwa bei nafuu, kuanzia lower class, middle class hadi VIP treatment. Tunapatikana Mbezi Going . Piga sasa: 0753 803 809
Karibu ujionee utofauti! ✨
Katika mahusiano inabidi kuna muda mpeane nafasi ya kila mmoja kuwa na muda wa peke yake ni nzuri kwa afya.
.
In relationships, it’s important to give each other space and time to be alone; it’s good for emotional and mental health.
.
.
Cc @sauna.serenity
.
.
#instagram #reels #relationships #love #viral