Msanii P Mawenge ameeleza kuwa wazo la kuandika ngoma yake “Trust No One” lilichochewa na matumizi ya teknolojia ya AI (Artificial Intelligence), ambapo alitumia mifumo hiyo kupata mwanga wa mawazo, maneno na mitindo mipya ya uandishi wa muziki. Amesema AI ilimsaidia kupanua ubunifu wake kwa kumpa mitazamo tofauti kuhusu maisha, mahusiano na tahadhari katika kuaminiana, jambo lililopelekea kuibuka kwa ujumbe mzito ndani ya wimbo huo.
Hata hivyo, amesisitiza kuwa pamoja na msaada wa AI, hisia halisi na uzoefu wake binafsi ndivyo vilivyokamilisha utunzi wa ngoma hiyo na kuipa uhalisia unaogusa wasikilizaji.
Follow Us On Social Media
Instagram -
@jembefmtz
Facebook -
@jembefmtz
X(Twitter) -
@jembefmtz
TikTok -
@jembefmtz
Thread -
@jembefmtz
#AhsanteKwaTime
#Familiamoja
#10YrsJembefm