Jembe Fm

@jembefmtz

Official Account 93.7 Mwanza | PAMOJA SANA...! | [email protected] | [email protected] YOUTUBE CHANNEL LINK👇👇
Followers
142k
Following
27
Account Insight
Score
65.05%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
5247:1
Weeks posts
Kurasa Zaidi ya 1800 Bila Chuma
396 5
1 month ago
Asante kwa safari ya miaka 10 ya kuwa nasi pamoja kama familia moja yenye, upendo, na ushirikiano! Kutoka Jembe FM, tunasema asante kwa wasikilizaji wetu, wadau, na timu nzima iliyoifanya ndoto hii kuwa kweli. Miaka 10 ya pamoja bado tupo nawe kama familia moja na tunakila sababu ya kusema Ahsante kwa Time kutusikiliza, kutufatilia, na kutukumbatia Daima! đź’Şđź“» #familiamoja #AhsanteKwaTime
0 87
6 months ago
Wadau wa michezo nchini wameombwa kujitokeza katika kuunyanyua na kuuendeleza mchezo wa Netiboli mkoa wa Mwanza kupitia mabonanza yanayoandaliwa na vyama vya wilaya na mikoa vya michezo huo Akizungumza wakati akiwa mgeni rasmi wa bonanza la Netiboli wilaya ya Ilemela lilifanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Ilemela jijini Mwanza Meneja TPHPA Kanda ya Ziwa Juma Mwinyimkuu amewataka wanamichezo kujitokeza na kuunga mkono mchezo huo ili uweze kupiga hatua kwa kukuza na kutengeneza vipaji vya wanamichezo Katika bonanza la leo limezikutanisha zaidi ya timu kumi kutoka mikoa ya Mwanza,Mara,Geita ,Shinyanga na Kagera likiwndaliwa na uongozi wa wilaya ya Ilemela Baadhi ya washiriki wa bonanza hilo wamesema kuwa bonanza hilo limetumika kama sehemu ya kurejesha matumaini ya mchezo huo nchini na ujuzi mpya kwa wachezaji na viongozi walioshiriki. Follow Us On Social Media ‎Instagram - @jembefmtz ‎Facebook - @jembefmtz ‎X(Twitter) - @jembefmtz ‎TikTok - @jembefmtz ‎Thread - @jembefmtz #AhsanteKwaTime #Familiamoja #10YrsJembefm ‎
0 0
20 hours ago
Joel Nanauka amesema dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kila kijana mwenye ndoto na utayari wa kujituma anapata nafasi ya kufanikiwa. Akizungumza katika Kongamano la Vijana wa Vyuo Vikuu la Never Again jijini Dar es Salaam, Nanauka amesema serikali imeendelea kufungua fursa mbalimbali za uwezeshaji wa vijana kiuchumi kupitia wizara na taasisi tofauti nchini. Follow Us On Social Media ‎Instagram - @jembefmtz ‎Facebook - @jembefmtz ‎X(Twitter) - @jembefmtz ‎TikTok - @jembefmtz ‎Thread - @jembefmtz #AhsanteKwaTime #Familiamoja #10YrsJembefm ‎
2 0
23 hours ago
Albert Msando amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kupigwa marufuku kwa mikataba ya kinyonyaji dhidi ya madereva wa bodaboda. Akizungumza katika Kongamano la Never Again jijini Dar es Salaam, Msando amesema mikataba hiyo imekuwa ikiwalazimisha madereva kurejesha fedha kubwa kupita thamani ya pikipiki, hali inayochochea mwendokasi na hatari barabarani. Follow Us On Social Media ‎Instagram - @jembefmtz ‎Facebook - @jembefmtz ‎X(Twitter) - @jembefmtz ‎TikTok - @jembefmtz ‎Thread - @jembefmtz #AhsanteKwaTime #Familiamoja #10YrsJembefm ‎
0 1
1 day ago
Ezekia Wenje amesema baadhi ya wanasiasa wanaotafuta umaarufu hutumia propaganda na kupotosha wananchi kwa maslahi yao binafsi. Akizungumza katika Kongamano la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu la Never Again jijini Dar es Salaam, Wenje amewataka wasomi na vijana kutumia akili, kuchambua taarifa wanazopokea mitandaoni na kulilinda taifa dhidi ya uchochezi. Follow Us On Social Media ‎Instagram - @jembefmtz ‎Facebook - @jembefmtz ‎X(Twitter) - @jembefmtz ‎TikTok - @jembefmtz ‎Thread - @jembefmtz #AhsanteKwaTime #Familiamoja #10YrsJembefm ‎
0 5
1 day ago
Ezekia Wenje amesema vijana wana wajibu wa kuilinda Tanzania bila kuangalia tofauti za vyama vya siasa, akisisitiza kuwa taifa linapaswa kubaki imara licha ya mabadiliko ya serikali. Akizungumza hii leo Mei 16,2026 katika kongamano la Never Again lililoandaliwa na Tanzania Higher Learning Institutions Students' Organization jijini Dar es Salaam, Wenje amesema vijana ndio nguvu kubwa ya taifa na wana nafasi muhimu ya kuamua mustakabali wa nchi. Follow Us On Social Media ‎Instagram - @jembefmtz ‎Facebook - @jembefmtz ‎X(Twitter) - @jembefmtz ‎TikTok - @jembefmtz ‎Thread - @jembefmtz #AhsanteKwaTime #Familiamoja #10YrsJembefm ‎
0 0
1 day ago
Tanzania Higher Learning Institutions Students' Organization kupitia Rais wake Geofrey Kiliba amesema wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wanaunga mkono kauli ya “Never Again” iliyotolewa na vijana wa Dodoma mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika kongamano la wanafunzi lililofanyika Ubungo Plaza, Kiliba amesema vijana hawapo tayari kushirikiana na yeyote anayetaka kuvuruga amani, umoja na mshikamano wa nchi. Follow Us On Social Media ‎Instagram - @jembefmtz ‎Facebook - @jembefmtz ‎X(Twitter) - @jembefmtz ‎TikTok - @jembefmtz ‎Thread - @jembefmtz #AhsanteKwaTime #Familiamoja #10YrsJembefm ‎
0 0
1 day ago
Albert Chalamila amewataka vijana kujiepusha na siasa za chuki na propaganda, badala yake wajikite katika kufanya kazi na kujenga maisha yao. Akizungumza katika Kongamano la Vijana wa Vyuo Vikuu la Never Again jijini Dar es Salaam, Chalamila amesema mafanikio hayatokani na maneno mengi bali juhudi, uvumilivu na uwezo wa kujimudu kimaisha. Follow Us On Social Media ‎Instagram - @jembefmtz ‎Facebook - @jembefmtz ‎X(Twitter) - @jembefmtz ‎TikTok - @jembefmtz ‎Thread - @jembefmtz #AhsanteKwaTime #Familiamoja #10YrsJembefm ‎
0 0
1 day ago
Wafanyabiashara wa mikoa ya kanda ya ziwa wametakiwa kutumia vyema fursa ya siku ya maadhimisho ya siku ya ziwa viktoria kuanzia tarehe mei 18,2026 hadi Mei 25,2026 kwenye viwanja vya Nanenane Nyamhongolo jijini Mwanza kwa kuonyesha bidhaa zao mbalimbali. Rai hiyo imetolewa na mkurugenzi wa bodi ya bonde la ziwa Viktoria Dkt.Renatus Shinhu wakati wa mahojiano na kipindi cha #Drivemix cha @jembefmtz kuelekea siku ya maadhimisho ya Siku ya ziwa viktoria. Follow Us On Social Media ‎Instagram - @jembefmtz ‎Facebook - @jembefmtz ‎X(Twitter) - @jembefmtz ‎TikTok - @jembefmtz ‎Thread - @jembefmtz #AhsanteKwaTime #Familiamoja #10YrsJembefm ‎
0 0
1 day ago
Palamagamba Kabudi, Joel Nanauka pamoja na Albert Chalamila ni miongoni mwa viongozi waliohudhuria Kongamano la Wanafunzi la Never Again lililofanyika katika Ubungo Plaza Mei 16, 2026. Kongamano hilo lenye kaulimbiu “Tuipende, Tuitunze, Tuilinde nchi yetu” limewakutanisha viongozi wa serikali, serikali za wanafunzi na wanafunzi kutoka taasisi mbalimbali za elimu ya juu nchini. Follow Us On Social Media ‎Instagram - @jembefmtz ‎Facebook - @jembefmtz ‎X(Twitter) - @jembefmtz ‎TikTok - @jembefmtz ‎Thread - @jembefmtz #AhsanteKwaTime #Familiamoja #10YrsJembefm ‎
0 0
1 day ago
Maelfu ya wanafunzi kutoka vyuo na vyuo vikuu mbalimbali nchini wameandamana jijini Dar es Salaam wakihamasisha amani na uzalendo wakati wa uzinduzi wa kongamano la Never Again lililoandaliwa na Tanzania Higher Learning Institutions Students' Organization Mei 16, 2026. Maandamano hayo yalianzia katika Kiwanja cha Kinesi hadi Ubungo Plaza huku wanafunzi wakibeba mabango yenye ujumbe wa kuhimiza mshikamano na amani nchini. Follow Us On Social Media ‎Instagram - @jembefmtz ‎Facebook - @jembefmtz ‎X(Twitter) - @jembefmtz ‎TikTok - @jembefmtz ‎Thread - @jembefmtz #AhsanteKwaTime #Familiamoja #10YrsJembefm ‎
2 1
1 day ago