Bismillah ALHAMDULILLAH Mashaallah😍🙏Thank you babe for choosing me
As I told you na sitaacha kukwambia wewe ni wa tofauti sana Yani Mnooooo🙌Umenionesha tofauti ya mwanaume na Mume ur the best👌One in a million🙌Una upendo,Huruma,umenikamata zaidi kwenye kunipenda Mimi na familia yangu🫶🥰❤️😍💕Wewe si Mume tu ni baba bora wa familia...
I believe kwamba wewe ndo Mwanaume au Mume niliekuwa namuomba MUNGU kila siku...!🤲🙏That’s why I call you MY ANSWERED PRAYER🤲❤️ MUNGU Atuweke tuzikane Inshaallah
Ur my last Nakwambia kila siku nanamaanisha❤️
Tumaini langu la mwisho liko Kwako SAID🙏🥹
NAKUPENDA SANA SANA MUME WANGU👌😍💕 @ngilangwa_agrifamrs
👗 @anna____collections
Kilemba @roland_gele_designs
Hair installation & Style @steven_hairacademy
Mua @ruqaiyah_makeup
HENNAH @fafa_hennatz
Accessories @coco_wedding_accessories
Rob @robes_by_michelle
Last slide @aliencreator_pro
Flowers @jojoflowers25