Tunaendelea na Challenge Kwenye Dress 04!
Tuone nani anabahatika!!…
Dress 04 Release..!
Hapo Zitakuwa Zimebaki 05, 06, 07 & 08 Usikae Mbali na Page! Ni Mwendo wa Zawadi Kwa IG Fam
Wa Kwanza Kujibu Na Kupata!.. Laki 3 Kutoka @anna____collections
Elegance for Every Generation!
What a beautiful Lady in a Beautiful dress from @anna____collections 😍😍😍
Haya wale watu 10 send Numbers Dm Mgawo waile 30k each!!!
Thank you For Always Supporting this Brand 🙏🙏 Hakikisha Ulikuwepo Kwenye Mikeka Iliyopita Toka Mwanzo…Soma kwanza Uelewee.. Kabla ya kutuma..!
Muse: @real_robbina
Dress: @anna____collections
Makeup: @cyenu_makeup
Accessories: @coco_wedding_accessories
Bouquet: @jojoflowers25
Videographer: @tolexb_tz
#AnnaCollections #WeddingDressGoals #AffordableLuxury #fyp #AnnacollectionsBrand
✨ INTRODUCING DRESS No. 04 ✨
From Our Latest Collection Featuring @real_robbina 💎
Huyu ni mwanafunzi wa Kampala University 🎓❤️
Wanachuo, Annacollections Brand inawafikia popote mlipo!
Back to the dress 😍
Hii ni mojawapo ya wedding dresses zetu ambazo ni affordable lakini classy sana ✨
Available in Chantilly Pearl White or mixed with Nude, ikiwa na different beautiful patterns unaweza kupata with or without tail 👰🏽♀️
Price Range: 2.5M – 3M TSh depending on Fabric & Mkia
Na kwa watu wa Challenge 👀
Najua mkeka umechanika 😅 lakini bado tunawapa nafasi wale top engaging wanaojaribu challenge yetu kila mara Lakini hawajawi Kupata Tutagawanya hiyo 300k kwao
Naomba Kuwaona hapo kwenye Comment! ❤️👇
Muse: @real_robbina
Dress: @anna____collections
Makeup: @cyenu_makeup
Accessories: @coco_wedding_accessories
Bouquet: @jojoflowers25
Videographer: @vincreator_
#AnnaCollections #WeddingDressGoals #AffordableLuxury #BrideToBe #AnnacollectionsBrand
Swahili Ya Congo Nimeanza Kuielewa Hasa Ya Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩. Asanteni Sana Watoto Wa Congo Kwa Kupokea Kwa Ukubwa Brand Yetu Ya @anna____collections Kuanzia Project Za Kinshasa Hadi Lubumbashi.
Thank You KINSHASA, LUBUMBASHI, KASUMBALESA, KOLWEZI, LIKASI🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️
Until Next Time..! More Videos za DRC TikTok..!
Muse: @la_barbie_de_lushi
#RDC #Congolese #lubumbashi🇨🇩 #kolwezi_ville🇨🇩 #congo
Ladies and Gentlemen introducing to you @marciana_genya as a Commercial Model and this is her First Shot with @anna____collections
Mara ya Kwanza Kukutana Naye Ilikuwa Masterclass Ya Models na Mamiss Nilikuwa One of The Speaker Nikifundisha Namna Gani Models Wanaweza Kujiposition Kibiashara Zaidi.
Alitumia Nafasi Hiyo Hiyo Kuuliza Kama Tunaweza Kufanya Kazi..
The Transformative Bridal Gown Featuring Miss Grand Ruvuma @marciana_genya
A masterpiece of elegance and transformation.
From a regal ball gown silhouette to a breathtaking crystal-& pearls embellished fitted dress,
The 👗 is designed for the bride who desires different unforgettable looks in one magical moment.
One ball divided into two pieces ( 180*2)
Muse: Mary
Dress: @anna____collections
Makeup: @cyenu_makeup
Hairstyle: @jenaiah_hairtz
Accessories: @coco_wedding_accessories
Bouquet: @jojoflowers25
Photographer: @piccaso_shoots
Videographer: @piccaso_shoots & @dp_the_mvp