The moment i’ll never forget 📌
Ukisikiliza Bila kuweka ujuaji utajifunza.
Bado inawezekana ukapona kabisa na ukawa na ngozi nzuri.
For skin consultation na products zenye ubora don’t hesitate I am here to help you.
Dm me or wasap 📞☎️ +255689974975 na +255745619195.
#fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #trend #viral #post #ig
Habari kubwa siku ya Leo ilikua ni hii hapa📌🤗
Kabla hamjaendelea nimwambie tu hiyo vdeo haina filter taarifa ya Habari hawana muda wa kuedt maana hamkawii🤣😅🙌🏼
Wito wangu kwa wauza Cosmetics’s acheni kutumia picha za watu kudanganya watu.
Nikiwa Kama muhanga wa Jambo Hilo sitaacha kupiga kelele na kuelimisha wengine wanaopitia changamoto za ngozi Kama Mimi.
Na la mwisho kabisa Kama wewe ni muhanga wa maswala ya ngozi na unahitaji mtu sahihi wa kukusaidia, usiache kwenda hospital au nitafte niweze kukusaidia. Jifunzeni au chukua Ushauri kwa mtu ambae Ana uzoefu,Elimu au Yule aliyepitia heka heka Kama Mimi.
Na mwisho kabisa ni serikali na viongozi husika wasiache kutoa elimu kwa watu ili tuzidi kujifunza.
##fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #viral #trend #fypage post
Tunajua umesubiri kwa muda mrefu 🤭
Lakini usijali Director Nice @thisisniceaston Leo hii yupo tayari kukupa kile ambacho umekuwa ukikisubiri kwa muda mrefu. Ifikapo saa 3:00 Usiku hakikisha macho na masikio yako yanakuwa kwenye CROWN TV Chaneli namba 415 katika Kisimbuzi cha Azam TV ✨
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #NakshikaYaCrown
Kama unahangaika na kwapa lako kutoa harufu kaa hapa na umsikilize kwa makini @thisisniceaston ambaye leo amekuja na suluhisho 📌
Tazama NAKSHIKA kila siku ya Jumapili saa 3:00 Usiku kupitia Crown TV chaneli namba 415 kwenye Kisimbuzi cha Azam TV na marudio ni kila Alhamisi saa 8:00 Mchana.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Mtag hapa mrembo mwenye asili ya weusi aone robes itakayoendana na rangi yake siku akiwa na shughuli 👌🏾
Tazama NAKSHIKA kila siku ya Jumapili saa 3:00 Usiku kupitia Crown TV chaneli namba 415 kwenye Kisimbuzi cha Azam TV na marudio ni kila Alhamisi saa 8:00 Mchana.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Leo kwenye NAKSHIKA @thisisniceaston ameketi na @robes_by_michelle ambapo wamezungumzia mambo mengi kuhusu tasnia ya fashion.
Tazama NAKSHIKA kila siku ya Jumapili saa 3:00 Usiku kupitia Crown TV chaneli namba 415 kwenye Kisimbuzi cha Azam TV na marudio ni kila Alhamisi saa 8:00 Mchana.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Theme old photos
Stay classy, sassy, and a bit bad-assy.”
Skincare is my passion business 📌
📸 @_azazelk_
#viral #trend #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #post #ig
Wiki hii ndani ya NAKSHIKA @thisisniceaston amepiga stori na Designer @robes_by_michelle ambapo wamezungumza mengi usiyoyajua kuhusu mitindo na mavazi hasa ya sherehe.
Usikose kutazama NAKSHIKA Jumapili hii saa 3:00 Usiku kupitia CROWN TV Chaneli namba 415 kwenye Kisimbuzi cha Azam TV na marudio yake ni Alhamisi saa 8:00 Mchana.
🎥 | @emmanuel_njiro
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Can’t wait for Sunday 📌🤗BANGO NI KUBWA.
My brother @tony_sixteen
#fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #fypage #viral #ig #trendingsongs
Wigi unalo ndio ila unajua jinsi ya kulitunza? 🤭
Tazama NAKSHIKA kila siku ya Jumapili kuanzia saa 3:00 Usiku kwenye CROWN TV Chaneli namba 415 katika Kisimbuzi cha AZAM na marudio yake ni Jumatano saa 8:00 Mchana.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Vietnam hair ndio nywele za aina gani? @ankot_1 anatueleza kwa undani zaidi hapa…
Tazama NAKSHIKA kila siku ya Jumapili kuanzia saa 3:00 Usiku kwenye CROWN TV Chaneli namba 415 katika Kisimbuzi cha AZAM na marudio yake ni Jumatano saa 8:00 Mchana.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Hii ni barua ya wazi kwa Boss wangu @imani.luvanga Najua hupendi nikuite boss but naheshimu mamlaka🤗🙏🏻
My lovely babe sis and my friend right now, nilikua nangoja hii siku ya Leo ifike niseme haya machache nikwambie kwa barua ya wazi na watu waione 😔🤗.
Your the true definition that Good people still exists.🙌🏼
Uliamini maono yangu na project hii.
Ulinipa nafasi na ukahakikisha tunatafta jina na tunaandaa script pamoja, hukuwahi kuchoka cm zangu za kila Mara wala kunifanya nijiskie vbaya.
Umehairisha safari sometimes na ratiba zako kwa ajili yangu Ulinipush ukiamini I’ve something in me.😔
One thing I remember ni neno la mwisho, you said NICE I TRUST YOU SHOW THE PEOPLE WHAT YOU CAN DO 📌
And the rest is here 🙌🏼
@imani.luvanga words cannot explain how I feel right now., thanks for opportunity you gave me, thanks for trusting me and thanks for whatever you’ve done kuhakikisha nakua Mimi Tena.
Umenifungulia dunia mpya Tena I remember my friend @marthamagawa told me Niko mikono salama so now I see it.
It’s my prayers may the LORD KEEP YOU.
Hakuna mahali nitataja mafanikio yangu ya kazi hii bila jina lako kutajwa wewe ni daraja ambalo Mungu alinipa.
You know I love you deeply ❤️
@imani.luvanga@imani.luvanga
#fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #viral #fypage #trendy #ig