Anaitwa shabani mbogo ni kijana anaetamba kwenye mitandao ya kijamii kwa staili yake ya ushangiliaji akiwa viwanjani leo tumepata kupiga nae stori na kuweka wazi juu ya mapokezi na namna jamii imepokea kazi yake hio.
Full stori ipo YouTube singeli media👈
@basata.tanzania@wizara_sanaatz@af_dar@taifastars_@nsc_bmt@franceintanzania@gersonmsigwa@meneja_kandoro
#TunaishiNAO
#Singeli2theWORLD
Supported by
#CreationAfrica
#CreationTanzania
#tanzaniaunforgettable🇹🇿
#tanzania🇹🇿
SINGELI MEDIA – TANGAZA NASI KWA GHARAMA NAFUU!
Habari yako!
Singeli Media tunafuraha kuwakaribisha makampuni na wafanyabiashara wote kutangaza bidhaa au huduma zenu kupitia kurasa zetu maarufu za Instagram,TIKTOK,YouTube Tunawafikia maelfu ya watu kila siku, hususan vijana na wapenzi wa muziki wa singeli na burudani.
Kwa nini utangaze na sisi?
✅ Tunafikisha ujumbe wako kwa kasi – kupitia video, picha, na story zinazovutia.
✅ Tunawafuasi hai na wenye ushawishi kwenye mtandao.
✅ Gharama ni nafuu, inayokufaa hata kama ni biashara ndogo.
Tutakupostia:
📌 Video fupi za bidhaa/huduma zako
📌 Picha na maelezo ya biashara yako
📌 Ofa maalum au promosheni zako
Wasiliana nasi leo ili kuanza kushirikiana nasi katika kutangaza biashara yako na kuvutia wateja wapya kila siku!
📞 Simu/WhatsApp: 0763481394
📧 Email: [email protected]
📍 Instagram: @singelimedia
Ukisikia mwanamke kujiamini ndio hii sasa SHENGESHA za mtoto wa mburahati mama kadidi 💪💪💪 mshono na umbo umeona vitu vimekaa mahali pake.
Follow @singelimedia@singelimedia@singelimedia
Wakuitwa @oxiemusic tokea Kwenye bongofleva hadi kwenye hits Kali ya singeli UNANIWEZA akimshirikisha @jaycombat_ ameweka wazi juu ya kipaji kikubwa cha msanii huyo kuwa alindwee na nchi ya Tanzania 🇹🇿
Follow @singelimedia@singelimedia@singelimedia