Kituo cha pili kimejulikana rasmi wakazi wa Msowero hii si ya kukosa kabisa hapa tunakuletea Sumado Mc,Baslay Bway na kaka mkubwa mwenye wivu wake Jay Combat kwa mtonyo wa shilingi 5000/= tu
Tukutane katika Ukumbi wa Msangeni Pub tar 30/05/2026
#nibombambayatour
#msowero