JISHINDIE 50,000/=
Challenge ya leo: Je hiki kipande Dulla Makabila alikirudia kutoka kwenye wimbo gani, na huo wimbo ulikuwa na nani?
Maelekezo: Tuandikie jibu kwenye comment, kisha watag washkaji au mashosti zako walike comment yako. Mwenye comment yenye likes za washikaji au mashosti wote waliotagiwa ataondoka na zawadi
MUHIMU: Fuata maelekezo yote. Tusilaumiane baadae
ββββββββββββββββββββββββββββββ
All credits to the rightful owners. Dm for ownership/removal
#zilipendwabongo
#bongofleva
#oldschoolbongofleva
#instagram
#fyp
Kwanza kabisa, hatuungi mkono wizi kwa namna yoyote, kwa sababu ni kosa linaloumiza watu na jamii kwa ujumla. Lakini kwa kuwa anayehusishwa na tuhuma hizi ni mtoto mdogo, tunaomba apewe nafasi ya kusikilizwa kwa utulivu na haki. Umri wake unaonyesha bado anahitaji malezi, maelekezo na msaada wa watu wazima ili asije akaharibika zaidi. Kama kuna kosa limetokea, basi hatua zinazochukuliwa ziwe za kumrekebisha na kumjenga, si za kumvunja au kumkatisha tamaa maisha yake yote. Huruma na busara vinaweza kusaidia zaidi kuliko ukali peke yake.β
Ni kweli watu wengi tulikuwa tunaona singeli Mziki wa kiuni hivi lakini kiuhalisia singeli kwenye nchi yeyote ikilia singeli unaiona tanzania kwaiyo tumegoma tukubaliane singeli ndo Mziki wetu unaokwenda kutuwakilisha kimataifa mhe mbunge wa kigoma mjini @officialbabalevo
Mii pateni Sina ukaribu nae wote Toka kazi ya kwanza sure toka afande ningewezaje sikupendi mzembe sitaki kukaa nae karibu @wapeleke_boba_@bongofive π₯
Show yangu ya kwanza kubwa ikanifanya Mimi nijulikane na msanii wangu ni show ya kawe tuliofanya na zuchu kawe ndo show yetu ya kwanza kubwa atujawahi kufanya Toka tuzaliwe @wapeleke_boba_@bongofive π₯