REYFAA ONE🎶🖤

@reyfaa_one

Musician Female Rapper From E.A | Tanzania🇹🇿 under @queesbees 🐝 Song Writer | Actress Booking; [email protected] 🏴‍☠️ Yemen 🏴‍☠️ Sijuiniitaje link👇
Followers
180k
Following
888
Account Insight
Score
45.98%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
202:1
Weeks posts
Nani anaweza nilipa?………SIJUI NIITAJE🤟🏼link kwenye bio yangu🙌 . . Producer 🎶 @is_adoh Bleach @mnyalu_the_barber 👕👖@princesdee1_official Director🎥 @extramind.studio NANI ANAWEZA NILIPA ????🙌
0 122
3 months ago
Baadhi ya Mistari kutoka kwenye ngoma ya #RAPDIARY kutoka kwa kundi la QUEENSBEES @reyfaa_one na @vevo6732 wimbo huo ambao mpaka hivi sasa umewajengea taswira mpya kwa mashabiki wa Muziki wa Hip-Hop Mahojiano Kamili Yanapatikana Kupitia YouTube Chaneli Ya PMTV TWO #PmtvUpdates #Kiburudanizaidi
186 15
2 days ago
Wanamuziki wa Hip-hiop wanaounda kundi la QUEENSBEES ambao ni @reyfaa_one na @vevo6732 wameelezea kwa ufupi kwamba tangu kukutana kwao imekuwa ni neema na ni Jambo ambalo wanaamini Mungu alipangaga iwage hivyo licha yakuwa wanakutana na figisu figisu kibao kutoka kwa watu wasiopenda kuona Mafanikio yao pamoja na hatua nzuri wanazozipiga Kimuziki Mahojiano Kamili Yanapatikana Kupitia YouTube Chaneli Ya PMTV TWO #PmtvUpdates #Kiburudanizaidi
429 21
2 days ago
WAKATI WA @mandvdg KUWAPIGIA BEAT @queesbees STUDIO ZA @azmamponda @reyfaa_one @vevo6732 THANKS SO MUCH @aznas_music @aznas_awards @aznas_media 🎥 by @hancey_one #queensbees
576 58
4 days ago
🔥🔥🔥SIKU CHACHE ZILIZOPITA NILIANDIKA KUWA HAWA WAFIKE @aznas_music NA TAYARI JANA WAMEFIKA NA WAMESHAFANYA KITU KAMA HIVI UNAVYOONA ,KWETU NI VITENDO TUU NA YULE MZEE ALIYEIMBA KWENYE HARUSI AMESHANICHEKI yuko Kilimanjaro @grandmasterrecords @iamjohnblass huyu mzee atakuja kuchukua vocals kwako… UJUMBE WANGU ULIPITA ULIKUWA HIVI kwa hawa wadogo zangu ulikuwa hivi 👇👇👇👇👇👇👇 @queesbees naomba hawa wadogo zangu wa Chuga waje @vevo6732 na @reyfaa_one wafike @aznas_music wafanye kazi na @mandvdg manager @managermaneno naomba hawa wafike, watu wengi sana wamekuwa wakinitupia clip zao, nafikiri @yededee umewahi kuwazungumzia hawa, kama ni hawa basi naomba wafike MAKAO MAKUU YA HIP HOP , kaka @mr_moses_mponda najua utafurahi maaana umeongoza kwa kunitumia clip Sao hawa..... nilikuwa naona ila nilikuwa busy kiasi. kwa mahitaji ya printing, branding, etc chimbo ni @aznas_printing na nowember tutakuwa na tuvo za Hip HOP @aznas_awards
1,484 55
5 days ago
Harakati Zina endelea mapambano yana songa ahsanteee brodah @azmamponda @reyfaa_one @queesbees @yededee Video🎥by @hancey_one
465 58
5 days ago
🔥🔥🔥🔥@queesbees naomba hawa wadogo zangu wa Chuga waje @vevo6732 na @reyfaa_one wafike @aznas_music wafanye kazi na @mandvdg manager @managermaneno naomba hawa wafike, watu wengi sana wamekuwa wakinitupia clip zao, nafikiri @yededee umewahi kuwazungumzia hawa, kama ni hawa basi naomba wafike MAKAO MAKUU YA HIP HOP , kaka @mr_moses_mponda najua utafurahi maaana umeongoza kwa kunitumia clip Sao hawa..... nilikuwa naona ila nilikuwa busy kiasi. kwa mahitaji ya printing, branding, etc chimbo ni @aznas_printing na nowember tutakuwa na tuvo za Hip HOP @aznas_awards
1,730 56
10 days ago
Today today today!!!!🔥🔥🔥🙌 at @kiringabar_lounge 🫡🥶 QUEENSBEES we here🙌🤟🏼……
0 18
11 days ago
Boom💥🔥🙌🤟🏼 @queesbees hii haina comeback🫵🥶……. . . . @em_clothing_store mkali👚👖🙌 @reyfaa_mart @queesbees
5,247 346
11 days ago
Respect, peace for everyone, happiness 🤟🏼🖤🙏 mwanangu @vevo6732 mjini pale tu🙌 @queesbees kundi lazima likuwe 🫡 HAKUNA KUKATA TAMAAA🖤 . . @em_clothing_store mkali 🩳👕 @queesbees @reyfaa_mart
1,097 68
16 days ago
QUEENSBEES tunaendelea kukiwasha 😂🙌SISI NI TISHIO KWA WENGINE🫵🙌 #rapdiary1 bado ipo youtube link kwenye bio ya @queesbees 👑 . . . Mwanangu @em_clothing_store 🩳👕🤟🏼 @queesbees @reyfaa_mart #rapdiary1 #rap
1,285 71
17 days ago