🔥🔥🔥SIKU CHACHE ZILIZOPITA NILIANDIKA KUWA HAWA WAFIKE
@aznas_music NA TAYARI JANA WAMEFIKA NA WAMESHAFANYA KITU KAMA HIVI UNAVYOONA ,KWETU NI VITENDO TUU NA YULE MZEE ALIYEIMBA KWENYE HARUSI AMESHANICHEKI yuko Kilimanjaro
@grandmasterrecords @iamjohnblass huyu mzee atakuja kuchukua vocals kwako…
UJUMBE WANGU ULIPITA ULIKUWA HIVI kwa hawa wadogo zangu ulikuwa hivi
👇👇👇👇👇👇👇
@queesbees naomba hawa wadogo zangu wa Chuga waje
@vevo6732 na
@reyfaa_one wafike
@aznas_music wafanye kazi na
@mandvdg manager
@managermaneno naomba hawa wafike, watu wengi sana wamekuwa wakinitupia clip zao, nafikiri
@yededee umewahi kuwazungumzia hawa, kama ni hawa basi naomba wafike MAKAO MAKUU YA HIP HOP , kaka
@mr_moses_mponda najua utafurahi maaana umeongoza kwa kunitumia clip Sao hawa..... nilikuwa naona ila nilikuwa busy kiasi. kwa mahitaji ya printing, branding, etc chimbo ni
@aznas_printing na nowember tutakuwa na tuvo za Hip HOP
@aznas_awards