Kaka me n mtz kutoka Mwanza ila nipo Kenya kujitafuta na ile siku ukihojiwana @radio47__kenya
Nilikuwa nakusikiliza sana na tunangonja interview yenu kwa hapo kaka me nina shida sn na nilikuwa nahitaji mtaji angalau nifanye biashara nibadilishe maisha yang na ya wazazi wangu nilishakutumia ujumbe kia Sehemu TikTok IG x fb Lkn sijawahi pata nafasi ya kujibiwa nakuomba kaka mkubwa ukiuona huu ujumbe wangu nisaidie nahitaji mtaji wa 2M tzshl tu kaka ntashukuru sn me sio tapeli ninashida kweli. Na nahitaji kubadilisha maisha yangu nakuomba kaka na Mungu azidi kukubariki sn ๐
Eeh mwenyezi Mungu,ninakuja mbele zako kusema asante umeniamusha tena,tena umenipa pumzi,na umeniwezesha kuona mwanga wa siku mpya.
Asante kwa uhai,afya na baraka zako sizizokoma naomba uniongoze leo
unifundishe njia zao,na unipe moyo wa shukrani kila wakati . AMENI๐