Naaaam.!! Penzi lako la pwani sio bukoba 🌊💦 Maji mengi mdomoni kulia maboga 😋🍑……
limenizidia hadi hausimami ufito🦵🤎Nishike vizuri kama Slide ya Mwisho😋🎻
Song: #NACHECHEMEA❤️✨
Yours in Poetry Mvuvi wa hisia❤️😊: @saluh_tz 🐰
.
.
.
#saluh #huyelee #love
Wanaotuumiza huwa wanafikiri kwamba Mioyo yetu imeumwa na Zege😂😂😂
Choonde choonde msiumizane mapeeenzi ni matamu sana jaman❤️🙌😋
#NACHECHEMEA Ipo kwenye Digital platforms Zoote🔥🔥 mtumie unayempenda kama tahadhari ya penzi lenuu😅
.
.
.
#saluh #huyelee #love #newsong
😒Ndugu zangu..!! Haawa vijana (NEW GENERATION) nikiwafungia BOOSTER msiwaombee msamaha tafaadhar😂😂🙌
Nawaonya mapeemaa Chezeni huuko huuko Studio na Autotunes ila kwenye Live performances ntawaumiizaaaa😏
My brother @mchaga_og endelea kuwauliza hilo swali nawahesabuu nijue idadi yaoo😒
Okeey.! Tuachane nao kwanza…😒 Wiimbo wangu mpya #Nachechemea upo katika digital platforms zootee😊
….. The KING Talks Less😊🎤👑…
YOURS TRULLY KING SALUH🐰🔥🎤
Credits to @wasafifm #theswitch
.
.
#saluh #huyelee #kingsaluh
GOOD MORNING..! MY JOBFULL FANS poleni na usingizi 😊Ninyi JOBLESS mkiamka mtakutana nayoo juu kwa juuu😂😂.
Huu ni wimbo wangu Unaitwa #NACHECHEMEA ❤️ naomba Rasmi sasa nianze kuutambulisha kwakoo kama uliwahi ama haujawahi kuusikia basi tunaanza Leooo.!😂😂
UNAPATIKANA KOOTEE.! Nimejitahiid sana kuusambazaa❤️😊
Nilikuwa nasubiri wazee wamalize kupigana mapanga ndo niingia Fimbo yanguuu🔥🙌
Asante sana. @mationbeats kwa beat kalii🔥🪗 najua sijakulipaa😂😂
Mixing alifanya @goodmaster255 na nimemkopa piaa😂😂
Nguo nimeazima kwa @corny_macode nimempanga ila huyu sina uhakika kama ntamlipa😂😂
.
.
.
#saluh #huyelee #newsong #love