Prisca Lyimo

@prisca__lyimo

@missgrand_arusha2026 Ambassador @sokabetafrica @kixdrinkstz Best young Influencer,The Rising Star,Gen Z Icon For partnership:[email protected]
Followers
166k
Following
939
Account Insight
Score
65.66%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
176:1
Weeks posts
Giving back with love 💚 I’m Prisca Lyimo, Miss Grand Arusha 2026, and I believe a crown means nothing if it isn’t used to serve. On 17th May 2026 at 11:00 AM, I’ll be at Kaloleni Hospital, Arusha for a special charity visit to spend time with patients and share some support and smiles. “To serve humanity is to serve God.” Let’s remind every patient that they are seen, valued, and not alone. This is what Beauty with a Purpose looks like. I’d be honored if you joined me in spirit and kept the patients in your prayers. #MissGrandArusha2026 #GivingBackWithLove #BeautyWithAPurpose #ArushaPride #MissGrandTanzania
335 15
2 hours ago
Jana nilipata nafasi ya kurudi nyumbani Arusha nikiwa kama Miss Grand Arusha, na mapokezi niliyopata yalikuwa makubwa kuliko nilivyotegemea. Kwa kweli moyo wangu umejaa furaha na shukrani. Asanteni sana Arusha kwa upendo wenu wa dhati na support kubwa mliyonionyesha. ❤️ Shukrani za kipekee kwanza namrudishia Mwenyezi Mungu kwa kutuweka salama na kutuwezesha kukamilisha jambo hili muhimu. Pia napenda kuwashukuru @dc_wilaya_arusha ofisi ya mkuu wa wilaya kwa mapokezi mazuri na heshima kubwa mlionipa. Bila kuwasahau @arusha_travellers thank you so much for everything, support yenu imenigusa sana. 🫶🏽 Arusha, nawapenda sana na ninaahidi kuendelea kuwawakilisha kwa heshima kubwa. This is just the beginning.
8,215 114
20 hours ago
🔵ARUSHA-TANZANIA Miss Grand Arusha, Prisca Lyimo, amepokelewa kwa shangwe na nderemo na wakazi wa Jiji la Arusha wakiwemo madereva bodaboda, vijana na wananchi mbalimbali, katika mapokezi yaliyojaa hamasa kubwa na furaha, kabla ya kuwasili katika ofisi za serikali kwa ajili ya kuendelea na ratiba rasmi ya ziara yake. Mapokezi hayo yameonesha uzalendo na mshikamano wa wananchi wa Arusha, ambapo Prisca Lyimo alipata nafasi ya kusalimiana na wananchi waliojitokeza kumlaki kabla ya kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya. Baada ya mapokezi ya wananchi, Miss Grand Arusha aliwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Arusha ambako alipokelewa rasmi na Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Dkt. Jacob Julius Rombo pamoja na viongozi wengine wa serikali. Akizungumza katika mapokezi hayo, Dkt. Rombo amesema mashindano ya urembo yamekuwa chachu ya kuwawezesha mabinti wengi kujipatia kipato, kukuza vipaji vyao na kuwaepusha kujiingiza katika vitendo visivyofaa katika jamii. Ameongeza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwekeza katika kuwawezesha vijana kupitia sera, taasisi na programu mbalimbali za maendeleo.
990 12
1 day ago
🔵ARUSHA-TANZANIA Mapema Leo May 15 ,Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Dkt. Jacob Julius Rombo, amempokea Miss Grand Arusha, Prisca Lyimo @prisca__lyimo ofisini kwake. Akizungumza wakati wa mapokezi hayo, Dkt. Rombo amesema uwepo wa mashindano ya urembo umefungua fursa kwa mabinti wengi nchini kujipatia kipato pamoja na kuwaepusha kujiingiza katika mambo yasiyofaa katika jamii. Aidha, ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kutambua mchango wa vijana katika maendeleo ya taifa kwa kuunda na kuimarisha wizara pamoja na taasisi zinazowalenga vijana, ikiwemo Ofisi ya Rais inayoshughulikia maendeleo ya vijana chini ya Mhe. Joel Nanauka. Katika hatua nyingine, Dkt. Rombo alimpongeza Prisca Lyimo kwa hatua aliyofikia na kumkaribisha Wilaya ya Arusha kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Joseph Mkude. Kwa upande wake, Miss Grand Arusha, Prisca Lyimo, alishukuru kwa mapokezi hayo na kuishukuru serikali kwa kutambua mchango wa vijana katika Taifa na kuahidii kuendelea kuitangaza Arusha pamoja na kuhamasisha vijana kutumia vipaji vyao kujiletea maendeleo.
791 11
1 day ago
MISS GRAND ARUSHA @prisca__lyimo NDANI YA ARUSHA!! SO LOVELY
0 19
1 day ago
Karibu nyumbani malkia wetu wa Miss Grand Arusha 2026, @prisca__lyimo , Mapokezi yenu yenye upendo na heshima yameonyesha nguvu kubwa ya familia ya Arusha. Tunawashukuru sana kwa kusimama pamoja na malkia wetu katika safari hii ya kipekee. #priscalyimo #missgrandarusha #Missgrandarusha2026 #missgrandtanzania #missgrandtanzania2026
1,251 21
1 day ago
Jiunge na Scholar Account leo na ujivunie Mkwanja Monday chuoni Shinda 20K kila Jumatatu, smartphone mpya mpaka mwezi Juni, na bila kusahau laptop mpya mpaka mwezi December 💻📱 Fanya malipo yako kidigitali leo ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi. Usikose nafasi hii ya kujishindia zawadi kabambe huku ukiendelea na masomo yako #SimBankingKimapangoWako
3,499 35
2 days ago
Arusha, I’m coming home! 👑 I’m Prisca Lymo, your newly crowned Miss Grand Arusha 2026. For the first time since the crown was placed on my head, I’m heading back to the city that raised me — not just as Prisca, but as your Queen, ready to carry Arusha’s name with pride to Miss Grand Tanzania. This homecoming is for YOU. For every dreamer in Arusha who dares to believe big. Let’s celebrate together! Join me: 📍 Arusha Airport 📅 15th May 2026 ⏰ 1:00 PM Come with your energy, your flags, and your love. Let’s make Arusha proud together. #MissGrandArusha2026 #TheCrownReturnsHome #ArushaPride #RoadToMissGrandTanzania See you at the airport, Arusha! Special Thanks @makuyuniwildlifepark @tawa_tanzania @kiliseasons @dc_wilaya_arusha
2,205 82
3 days ago
Miss Grand Arusha looking all pretty in a MBE glam Doll @prisca__lyimo Glam @makeupbyeddie_ Hair installation and styling @makeupbyeddie_
14.2k 237
4 days ago
Miss Grand Tanzania 2026 Official Amapiano Dancing Challenge. Meet PRISCA LYIMO ( @prisca__lyimo representing ARUSHA REGION with pure energy. HOW TO VOTE :Like, Share, comment repost and our judges max CASH PRIZE : First Winner : 300,000TSH Sec winner : 200,000TSH Third winner : 100,000TSH Who’s ready to see her on the final stage? 🔥
10.3k 1,437
6 days ago
Kwenye kipindi cha 'TWENDE JIKONI' sio tu kwamba unapata elimu ya mapishi, lakini pia ushauri wa masuala mbalimbali unaotolewa na Ma Chef wanaokuja akiwemo @prisca__lyimo ambaye amewashauri watu wote wenye ndoto za kuwa waigizaji na Content Creators. Cc | @muthon_paul @producer_big_ ____________________________________________ Tufuatilie STBongo TV kwenye: ⭐ StarTimes → CH 161 & 401 ▶️ YouTube → BONGOMAX TV #STBongoTV #STBongoUPDATES #nyumbanikwanza
0 45
7 days ago