KIMYA CHATAWALA BAADA YA MECHI! πβ½π₯
Kutokea hapohapo katika viwanja vya Starlight Masaki jijini Dar es Salaam, timu ya HADDY PRO SOUND imeibuka na ushindi mwembamba lakini muhimu wa goli 1 kwa 0 dhidi ya Seed Of Faith katika mchezo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa.
Kabla ya mchezo huo, Seed Of Faith walikuwa wakitoa vitisho vingi na kuonyesha kujiamini kwa kiwango cha juu kuelekea mtanange huo, jambo lililoongeza presha na hamasa kwa mashabiki waliokuwa wamefurika uwanjani. Lakini dakika 90 zilipoanza kuchezwa, mambo yalibadilika kabisa! π
HADDY PRO SOUND walionyesha nidhamu kubwa ya mchezo na kutumia nafasi yao moja muhimu kuhakikisha wanaondoka na ushindi huo uliowaacha wapinzani wao wakiwa kimya sana baada ya filimbi ya mwisho kupulizwa. ππ₯
Hakika HALIKA Gospel Bonanza imeendelea kutoa burudani ya aina yake, ushindani mkubwa pamoja na matukio yaliyowaacha mashabiki wakicheka, kushangilia na kufurahia siku hiyo ya kipekee. πβ½
USHINDI WA KISHINDO KWA NEEMA GOSPEL CHOIR! β½π₯
Kulikuwa na shamrashamra kubwa katika viwanja vya Starlight Masaki jijini Dar es Salaam, ambapo timu ya @neemagospelchoirtz ilionyesha kiwango cha hali ya juu kwa kuibuka na ushindi mnono wa magoli 4 kwa 1 dhidi ya Orel Studio kwenye mchezo uliovuta hisia za mashabiki wengi.
Mchezo huo uliokuwa sehemu ya HALIKA Gospel Bonanza ulikuwa na ushindani mkubwa, burudani ya kipekee pamoja na umoja uliodhihirika kati ya washiriki na mashabiki waliojitokeza kwa wingi kushuhudia pambano hilo.
Neema Gospel Choir walionekana kuwa imara tangu dakika za mwanzo, wakitawala mchezo kwa pasi nzuri, mashambulizi makali na umaliziaji wa uhakika uliowapa ushindi huo wa kishindo. Mashabiki walishangilia kwa furaha kubwa baada ya kila goli lililofungwa huku hali ya bonanza ikiendelea kuwa ya baraka, furaha na upendo.
HALIKA Gospel Bonanza imeendelea kuonyesha kuwa zaidi ya michezo β ni sehemu ya kuunganisha watu, kujenga urafiki na kuleta furaha katika jamii kupitia vipaji na ushirikiano. π₯π
Capturing the magic of the 120 GRAND FINALE #vunjakibubu! It was an absolute honor for Orel Studios to power this incredible event organized by Dorcas Home Care Initiative. We were responsible for the PA System, Backline, and Live Mixing, ensuring every note was crisp and every moment impactful.
Huge shoutout to;
β’ β¨ @simplyspecialevents for the breathtaking stage setup, decor, and seamless LED screen.
β’ π‘ @visualmatterz@hurumacharles for the world-class lighting that set the perfect mood.
β’ π₯ @cloudstv for the exceptional video production and live streaming.
β’ π Special thanks to @rehema_simfukwe@dorcashomecaretz and the entire team for the coordination and trust.
#OrelStudios #120GrandFinale #VunjaKibubu #UboraNaUbunifu
Professional Experience meets excellence. β‘οΈ For Worship Fest Season 07 hosted by @casfeta_ardhi , @orel_studios was proud to be the engine behind the scenes. From the initial 3D stage design and decor to the technical precision of our Monitor Wages, backline, and lighting, we ensured every note was heard and every moment was captured.
Full project management and video production by the best in the game.
Special Thanks to Our Great Partner: @visualmatterz@hurumacharles For Providing LED SCREEN
SoundEngineer @therealmujwahuki_mj@mujwahuki_entertainment
#OrelStudios #WorshipFestSeason07 #CasfetaArdhi #LiveProduction #StageDesign EventManagement TanzaniaEvents SoundAndLight VideoProduction GospelEvents