Glory to God ππ»ππ» Mithali 31:30, hupendeleo hudanganya ,na uzuri ni ubatili , bali mwanamke amchaye BWANA ndiye atakaesifiwa .
Asante MH
@maryprisca_mahundi pamoja na wizara kiujumla
@maendeleoyajamii kwa kuamua kilishika mkono kundi maalumu la salonist , kipekee mmewezesha pakubwa juu ya tukio hili tunasema asante sana
Tunawashkuru wadau wote kwa kutuwezesha pia mmekua mchango mkubwa sana juu ya ufanikishaji wa tukio hili
@janelle_stores_ mdada wa baraka utunzwe na yesu asante kwa kutushika mkono ππ»
@mam__mashuka__store asante sana mdada wa baraka
utunzwe na yesu asante kwa kutushika mkonoππ»
@rolandrobert_official asante Mr faragha tumefurahia uwepo wako mahali pale kwa nyimbo yetu pendwa inayotuvusha kila siku #faragha
Wasusi wote,watengeneza kucha ,watengeneza kope mliojitokeza Mungu awabariki mno
Tunawashukuru
@milly_lomey asante sana umekua baraka mdogo angu ulihakikisha una host na kuongoza sifa n kuabudu kwa pamoja hii ni kubwa kwangu β€οΈinternational gospel host
@officialjanethnehemia asante sana kilasiku uwa unatambua thamani ya kazi ya Mungu inayofanyika mahali hapa nahujawahi kuacha kusapport ulihakikisha watu wanamuona Mungu kwa njia ya uwimbaji nakuona mbali mdog angu
@minister_mickness_nemes asante san ndugu yangu kwa huduma nzuri sana tulibarikiwa mno natunabarikiwa kilasiku unapokuwa kwetu ni baraka ππ»ππ»
@charles.florentina mdogo mwenye kunyenyekea mpaka mwisho mbele za Mungu na wanadamu asante sana kwa huduma yako wala mazingira hayakupangii nini cha kufanya unachojua kutumika katika pendo lake barikiwa sana β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ
@orel_studios mmekuwa watu wa baraka sana juu ya tukio hili mmetuwezesha sound,setupzote ,light decorations,full coverage ππΌππΌ bila hivi mambo yasingeonekana hapa mbarikiwe mno
@yieldedworshippers_tz mmekua vijana wa baraka sana mlihakikisha mnasifu na kuabudu bila kuchoka mmehakikisha kila alieingia amemuona Mungu kwa huduma yenu ya uwimbaji God bless you