OfficialCza

@officialcza

Innovation & Business - Clouds Media Grp| Founder- Tanzania Green summit| Media Personality|Business Developer| |Communication Strategist|
Followers
187k
Following
1,591
Account Insight
Score
46.14%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
117:1
Weeks posts
Baada ya mahojiano naye yaliyodumu kwa zaidi ya nusu saa akasema nimefurahi kukutana na jirani yangu huku, ambaye amenipa zawadi ya interview nzuri ya kiswahili, tupige picha moja🤣🤣 Such a Cool President. (SLIDE) Asante sana Mheshimiwa Kenyatta, Rais Mstaafu wa Kenya kwa muda wako na kwa ku-share na sisi mengi kuhusu uongozi, siasa na Demokrasia ya Afrika kwa ujumla wake. Hakika #Wacloudsania watafaidi mazungumzo yetu kupitia platforms zote za #CloudsMedia Cc: @cloudsfmtz @Cloudstv ——————————— After an interview that lasted over half an hour, he said, ‘I’m glad to meet my neighbor here who conducted a great Swahili interview; such a Cool President. Thank you very much, Honorable Kenyatta, Former President of Kenya, for your time and for sharing with us insights on leadership, politics, and African democracy in general.
2,676 38
1 year ago
Nichukue nafasi hii kumshukuru Rais Mstaafu wa Nigeria, Goodluck Jonathan kwa kuketi na mimi kwa takribani saa nzima hapa Jijini Johannesburg na kuzungumza mengi kuhusu uchaguzi unaoendelea Nchini hapa na siasa za Afrika kwa ujumla. Kiukweli nimevuna mengi kutoka kwake na kwasababu sinaga tabia ya uchoyo, kesho kupitia Power Breakfast na platforms nyingine zote za #CloudsMedia utasikia sehemu ya mazungumzo yetu. ——————— I’d like to express my gratitude to Former President Goodluck Jonathan for meeting with me in Johannesburg for an insightful discussion lasting nearly an hour. We delved into various topics, including the current elections in South Africa and broader African political dynamics. I gained valuable insights from our conversation, and tomorrow, I’ll be sharing some highlights on Power Breakfast and other #CloudsMedia platforms.
2,199 58
1 year ago
JITIHADA ZA KILA SIKU HUZAA TABIA YA BIDII NA TABIA YA BIDII HUZAA MAFANIKIO.. Nimepata nafasi ya ku-interact na wafanyabiashara wakubwa kama Rostam mara kadhaa kwa biashara na mambo mbalimbali ya kijamii na ukiniuliza baadhi ya mambo nayoendelea kujifunza kwao ni kwamba; Mafanikio ni zao la tabia ya bidii na ndio maana kwa mpambanaji wa kitaa siku zote huwa anashangaa kwanini mtu mwenye mafanikio makubwa huwa bado anaendelea kupambana tena hata kuliko yeye ambaye bado hajatoboa.. Jibu ni Simple; Mpaka unamuona mtu ana mafanikio maana yake ana miaka mingi ya kutosha nyuma yake ya kupambana, jambo ambalo linapelekea kujenga tabia (Mazoea Hujenga Tabia) ambayo haifi hata akishatoboa. Imagine! Nimempigia simu Rostam jana saa tatu kasoro usiku wa jana kumkumbusha kuhusu panel discussion yetu ya saa 12 asubuhi ya leo akaniambia yupo Nairobi ila angependa sana kushiriki akaniambia atasikitika sana kuikosa, akaniomba nimpe muda afirikirie namna ya kufanya, saa sita usiku ndio ananiambia amepata ndege na usiku sana ndio akatua Dar, kalala masaa mawili na saa 12 kamili asubuhi tulikuwa nae Serena Hotel.. To summarize; hapa kuna shule ya kanuni nyingine ya mafanikio nayo ni KUJENGA TABIA YA BIDII ili izae USHINDI wa kutimiza Ndoto zako🙏🏿🙏🏿 #RostamAziz
3,109 49
1 year ago
Kwa nini uhangaike kufata bidhaa wakati ukija kununua bidhaa zetu Prime_storestz tunakuletea mpaka ulipo!! Karibu sana tupo Dar Village Mikocheni. Bidhaa zetu Zina ubora wa hali ya juu na bei yake ni ya kirafiki kabisa #primestoreschimbojipyamjini
20 0
12 days ago
This moment is for everyone who believed in me when I was just getting started😊 Till now am Miss Grand University Tz 2026 #fyp #missgranduniversity #missgrandtanzania2026
1,984 87
22 days ago
Ready to turn my dreams into a legacy. 🇹🇿✨ #fyp #missudsm2026 #missgrandtanzania
0 53
24 days ago
Ikigai Safaris Car Hire and Transfer Services Move with confidence wherever your journey takes you Professional transfer arrangements ndani ya jiji nje ya jiji na kimataifa kwa watu binafsi kampuni na wageni Airport pick up na drop off City na hotel transfers Intercity na long distance travel International transfer arrangements kupitia washirika wetu Car hire na dereva mzoefu Corporate transport na executive travel Event meeting na business transfers Magari safi salama yenye AC na faraja Huduma inapatikana saa 24 Booking 0682 972 757 #IkigaiSafaris #CarHire #AirportTransfer #CityTransfer #InternationalTransfer ExecutiveTravel CorporateTransport PrivateTransfer
125 10
1 month ago
Aya! Wazee wa Location, hiyo mitaa gani ya UK??
141 16
1 month ago
Turikwesti Tukupeleke. Full interview ipo tayari YouTube : Afrikanna Cc: @willan_tanzania | @downtown_tanzania #afrikanna #majobless #maafsausafirishaji
1,118 31
1 month ago
Umeme unakatika mtaa mzima, Lakini Willan Emergency Bulb inaendelea kukupa mwanga kwa zaidi ya masaa 3 mfululizo! Willan Emergency Bulb inang'arisha ndani na nje ya nyumba yako kama hakuna kilichotokea. Usikubali kukaa gizani Suluhisho la Uhakika lipo hapa. Wanapatikana, Mtaa wa Narung'ombe na Gogo, Kariakoo @downtown_tanzania . Wasiliana nao kwa namba 0749 335 307 #maafsausafirishaji #afrikanna #willan #willanmbeleyamuda #DowntownKariakoo
2,035 66
1 month ago
Turikwesti Tukupeleke. Full interview ipo YouTube : Afrikanna Cc: @willan_tanzania | @downtown_tanzania #afrikanna #maafsausafirishaji #majobless
468 15
1 month ago
Sio AI ni maisha halisi, Mambo mazuri yanapatikana Prime Stores. Fika dukani kwao waambie umewaona maafisa usafirishaji walikuja hapa. Wanapatikana Dar Village, Ground Floor B12 cc: @prime_storestz
2,236 241
1 month ago