Mwamba Alijua leo ni siku yake… lazima ndege azame tunduni.
Lakini dakika chache tu, simu moja ikabadilisha kila kitu. 😤💔
🎬 MGENI ni movie yenye drama, mapenzi na uhalisia wa maisha.
ITAKUA HEWANI TAR 11 STAY TUNED 😋
👉 LIKE 👍
👉 COMMENT 💬
👉 SUBSCRIBE 🔔 kwa zaidi
chessy tamthilia
#mgeni
RENTAL BUY..
Ni Wauzaji Na Wakodishaji Vifaa Vyote Vya Production
Camera Aina Zote
Light Aina Zote
Lens Aina Zote
Trypod Za Taa
Trypod Za Camera
Generators
Cards Za Camera Aina Zote
TUNAPATIKANA SINZA WHITE IN
@rentalbuystore_tz
#mgeni
Happy Birthday to you My young Sis… Uishi kwa kadri impendezavyo Allah. @godliver_gordian Aliyekupa hili Jina hakukosea kwasababu limekufit hasa! Cjui nikuelezeeje ili kila Mtu aelewe? Natamani Watu wajue kuwa Wewe ni Mtu sio Binaadam tu! Binafsi hata nikunyumbue kiasi gani siwezi kumaliza… Nnachojua ni kumuomba Mungu kwa kila Uchao na Uchwao azidi kukumiminia Baraka na huo Utu ulionao uendelee nao! Naweza kuonekana kama naongeza Chumvi Limao na Pilipili ili kunogesha lkn Laa hasha Mimi kwangu siongezi wala sipunguzi! Ubarikiwe Mno Kiongozi na Uendelee hivyo ulivyo usibadilike Kipenzi changu. Siku Moja panapo Uhai Insha Allah ntasema kwanini nimesema hivi. Nilikupenda, Nakupenda, na Ntakupenda Daima. Mungu Akutunze @godliver_gordian wangu. 🎂🎂🎂🎂💸💰💰💰💰💰❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹🌹