Mwamba Alijua leo ni siku yake… lazima ndege azame tunduni.
Lakini dakika chache tu, simu moja ikabadilisha kila kitu. 😤💔
🎬 MGENI ni movie yenye drama, mapenzi na uhalisia wa maisha.
ITAKUA HEWANI TAR 11 STAY TUNED 😋
👉 LIKE 👍
👉 COMMENT 💬
👉 SUBSCRIBE 🔔 kwa zaidi
chessy tamthilia
#mgeni
🌕 Kila usiku una siri…
Lakini usiku huu umeleta MGENI.
Kilio chake hakisikiki kwa wote…
Lakini atakaye muona, hatalala tena.
Filamu ya kusisimua, yenye maumivu, hofu na ukweli uliojificha gizani.
Hadithi itakayokuacha na maswali mengi kuliko majibu.
🎬 From Chessy Tamthilia
🔥 MGENI – Coming Soon
Je, ukiambiwa “MGENI” yupo mlangoni kwako saa sita kamili… utafungua?
#MGENI #SwahiliCinema #HorrorSwahili #ComingSoon #ChessyTamthilia #TanzaniaFilm
HAMNAZO!!!😂
Kikao Chetu Kinaenda Vizuri Sana Ndugu Yangu 😂
Manyanya
"Ila Kwa Namna Unavyo Cheza Kwenye Dunia Baba Kama Hujaowa Hivi Kuna Familia Itakupa Mke Kweli???"😂😂😂😂
#DUNIASERIE'S
@manyanya._@vaileth__frank@official_.chessy@baba_asma_