Home mwanafaPosts

Falsafa Baba!

@mwanafa

Tanzanian | MC with an MSc | Family Man | Rapper | A Business-MAN | MP - Muheza Constituency | Deputy Minister - Information, Culture, Arts & Sports |
Followers
5.6m
Following
1,006
Account Insight
Score
79.6%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
5644:1
Weeks posts
Historia nyingine imeandikwa..hongera nyingi kwa timu yetu ya Taifa ya chini ya miaka 17 kwa kufuzu kushiriki kombe la dunia kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu..πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Mavijana Yanatutoa Kimasomaso SANA.
6,053 113
15 hours ago
You can never be ready for a new level,because..its a new level.
6,940 191
2 days ago
Mwandishi: Anko FA,kwanini wanakuita CHOIRMASTER? Me: Ngoja nikuoneshe kitu. Na hamuwezi kuamini hii ndo show nliyoambiwa wahudhuriaji hawakua na vibe kabisa,ni vile tu nilikua na kazi nao..πŸ˜… Jukwaa la Fiesta,Mwanza 2012.
13.6k 607
6 days ago
RAIS SAMIA AMPA PROF JAY MILIONI 30 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amempatia kiasi cha shilingi Milioni 30, Nguli wa muziki wa Hip Hop nchini na mbunge wa zamani wa jimbo la Mikiumi, Prof Jay @professorjaytz ikiwa ni sehemu ya kumwezesha kuendelea na maisha yake baada ya kutoka kwenye changamoto ya afya iliyokuwa ikimkabili. Fedha hizo zilikabidhiwa mei 10 2026 na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma @mwanafa aliyemtembelea Prof Jay akiwa ameambatana na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es salaam Nurdin Bilal Juma (Shetta). @ikulu_mawasiliano
6,273 188
6 days ago
Hongera kwa timu yetu Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 20(Tanzanite Queens) kwa kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2026,mashindano yatakayofanyika nchini Poland mwezi Septemba mwaka huu. Mmeandika historia,mmeibeba vilivyo bendera ya nchi..Hongereni sana πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
1,507 39
6 days ago
Tumepiga story na @mwanafa kuhusu muziki, maisha, familia na safari yake ya kuwa mmoja wa viongozi vijana ndani ya serikali. Ulikua wakati mzuri sana na tunakushukuru FA kwa muda wako. Tayari tumekuwekea #YouTube Channel ya DOZEN SELECTION πŸŽ₯πŸ”₯ #PodcastInterview #Dozenselection #MwanaFA
21.6k 363
8 days ago
Kesho kwenye episode nyingine ya @dozenselection ina mengi tulio share na @mwanafa Kwa sasa subscribe kwenye #YouTube channel ya #DozenSelection Link kwenye Bio
3,620 89
9 days ago
Inategemea unamuuliza nani...
43.1k 1,159
10 days ago
Mchango wangu kabla ya Mhe Waziri kuhitimisha Bajeti ya Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo jana. Bajeti inayokwenda kutatua matatizo na kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati kwenye sekta hizi kuliko wakati wowote mwingine kwenye historia ya nchi yetu. Ushahidi wa dhahiri wa jinsi Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ilivyodhamiria kufanya mapinduzi makubwa kwenye sekta za Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo.
0 51
12 days ago
Sema ilikuwa "dabi" kweli..tumeona vitu vya sikukuu πŸ˜…
14.7k 474
14 days ago
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma @mwanafa akiwasilisha randama za makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo, kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Aprili 30, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.
14.7k 151
17 days ago
Kampala..The City of Many Hills. Tete a tete with my brother Peter Ogwang hii jioni.
2,150 72
25 days ago